Video: Vijana kuweni serious. Kuna huyu Thobias Kahimba alianza kwa kuchoma CD kwa Tsh 100 hadi amekuwa Bilionea. Mnakwama wapi?

Ah wabongo utawaweza? Huyo Diamond kila siku anapigwa vita kuhusu utajiri wake. Kitu amba ho nchi mnakikubali ni shida tu. Mtu akisemwa masikini hamuwezi kuhoji kama akisema ni tajiri.
Chuki na husda tu, mtu anafanya kazi mbele yetu sote na anapata mafanikio halafu ukae unabishana😄
 
Ila wakina Zuckerberg na Steve Jobs hadi speeches zao mnasikiliza freshi.

Shida yenu maisha yenu yana-rotate around social media.

Mkata viuno Diamond akisema yeye ni tajiri mnakubali ila akisema mtu ambaye hujawahi kumuona hamuamini.

Hivi mnajisikia?
Kwa mtu yeyote mwenye utashi hawezi kuamini kitu bila kukiprove kwa evidence sahihi.

Hao wengine tunaona wanayoyafanya lakini bado siri ya kuinuka kwao itabaki kwa wahusika pekee
 
Wakuu,

Kuna muda kama vijana inabidi muwe serious na maisha.

Kuna huyu kijana nimemuona huko Azam TV anasema alianza kwa kuchoma CD yaani nyimbo moja alikuwa anaweka kwa Tsh 100 aka-fight sana.

Anasema alikuwa kwa siku alikuwa anatumia 1000 mpaka 1500 tu kuna kipindi mpaka akaumwa vidonda vya tumbo.

Sasa hivi ni Bilionea mkubwa tu. Ana duka kubwa la hardware na anafanya mambo ya usafirishaji na ameajiri watu wengine 71

Sasa vijana mnakwama wapi kuwa kama huyu? Kuweni serious
Hii ndio inasababisha vijana wengi kufirw@.
Wakiona story za hivi wanadata wanatamani nao wafanikiwe haraka
 
Jinga kabisa.

Ukiwa una matusi uwe na confidence.

Sasa hiyo @ hapo ya nini. Jikaze andika tusi lote. Unaogopa nini?
 
Ah wabongo utawaweza? Huyo Diamond kila siku anapigwa vita kuhusu utajiri wake. Kitu amba ho nchi mnakikubali ni shida tu. Mtu akisemwa masikini hamuwezi kuhoji kama akisema ni tajiri.
Mkuu, umasikini hauojiwi sana sababu umasikini ni mrahisi kuupata. Vitu adimu ndo vinavyojadiliwa. Hii clip inamiss vitu vingi kumuhusu huyo bilionea.
 
Mkuu ulitegemea clip ya 4minutes itaelezea hatua kwa hatua alipotoka hadi hapo alipo?
Kifupi sijui kapitia njia gani,sijui ni bilionea au sio bilionea ila mimi naamini inawezekana kuwa bilionea kwa kuanzia chini kama yeye.
 
Mkuu, Trela inabeba ujumbe wa video nzima kwa ufupi sana, sasa kama trela imesema kusave 1,500 ndo imetrigger ubilionea watu watatoa maoni kulingana na hiyo taarifa. Unless kuwe na taarifa mbadala au full video.
Kifupi sijui kapitia njia gani,sijui ni bilionea au sio bilionea ila mimi naamini inawezekana kuwa bilionea kwa kuanzia chini kama yeye.
Yes. Upo sawa mkuu.
 
Ubaya hawaelezi mwanzo wa hizo hela. Hawaelezi mchakato hadi kafika hapo anaeleza tu alikuwa anachoma cd

Sasa je ni hizo cd zilimfanya akawa bilionea au kitu gani ambacho alifanya kikampa hela akatusua hadi kufika hapo?

Au alikuwa anasave hela ya cd hadi kupata mtaji wa hardware?

Mungu ndio anajua na ndie anaepanga ,tunpe hongera
 
Eric ni nani?
Eric mandala ni mfanyabiashara tajiri congo , alikuwa ana tumotivate sana kwa hustle za mitandaoni ,kakamatwa madrid na kilo 200 za cocaine

Alionekana hutler vijana tukawa tunatamani hutles zake
 
Wakuu,

Kuna muda kama vijana inabidi muwe serious na maisha.

Kuna huyu kijana nimemuona huko Azam TV anasema alianza kwa kuchoma CD yaani nyimbo moja alikuwa anaweka kwa Tsh 100 aka-fight sana.

Anasema alikuwa kwa siku alikuwa anatumia 1000 mpaka 1500 tu kuna kipindi mpaka akaumwa vidonda vya tumbo.

Sasa hivi ni Bilionea mkubwa tu. Ana duka kubwa la hardware na anafanya mambo ya usafirishaji na ameajiri watu wengine 71

Sasa vijana mnakwama wapi kuwa kama huyu? Kuweni serious

Sasa mkuu unataka wote tuwe bilionea? Itakuwa nchi ya namna gani!
 
Ubaya hawaelezi mwanzo wa hizo hela. Hawaelezi mchakato hadi kafika hapo anaeleza tu alikuwa anachoma cd

Sasa je ni hizo cd zilimfanya akawa bilionea au kitu gani ambacho alifanya kikampa hela akatusua hadi kufika hapo?

Au alikuwa anasave hela ya cd hadi kupata mtaji wa hardware?

Mungu ndio anajua na ndie anaepanga ,tunpe hongera
Mtu anaiba, anafanya ufisadi au madawa ya kulevya. Kisha anaanza kudaganya kuwa alienda kwa mganga, au ni hela za majini. Au ni freesoman, utasikia ''mimi huwa nalala kwenye jeneza''.

Lengo ni kupotosha wasijue ukweli.
 
Back
Top Bottom