RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Sawa kabisa.Nimechangia uzi ulivyoletwa ndiyo maana nakataa kilichoandikwa hapa na mleta mada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kabisa.Nimechangia uzi ulivyoletwa ndiyo maana nakataa kilichoandikwa hapa na mleta mada.
Chuki na husda tu, mtu anafanya kazi mbele yetu sote na anapata mafanikio halafu ukae unabishana😄Ah wabongo utawaweza? Huyo Diamond kila siku anapigwa vita kuhusu utajiri wake. Kitu amba ho nchi mnakikubali ni shida tu. Mtu akisemwa masikini hamuwezi kuhoji kama akisema ni tajiri.
Nilishavuka hiyo stageUsiwe motivated kiwepesi kama kuku anayeitiwa mahindi. Hoji, Mambo si mepesi mepesi.
Kwa mtu yeyote mwenye utashi hawezi kuamini kitu bila kukiprove kwa evidence sahihi.Ila wakina Zuckerberg na Steve Jobs hadi speeches zao mnasikiliza freshi.
Shida yenu maisha yenu yana-rotate around social media.
Mkata viuno Diamond akisema yeye ni tajiri mnakubali ila akisema mtu ambaye hujawahi kumuona hamuamini.
Hivi mnajisikia?
Hii ndio inasababisha vijana wengi kufirw@.Wakuu,
Kuna muda kama vijana inabidi muwe serious na maisha.
Kuna huyu kijana nimemuona huko Azam TV anasema alianza kwa kuchoma CD yaani nyimbo moja alikuwa anaweka kwa Tsh 100 aka-fight sana.
Anasema alikuwa kwa siku alikuwa anatumia 1000 mpaka 1500 tu kuna kipindi mpaka akaumwa vidonda vya tumbo.
Sasa hivi ni Bilionea mkubwa tu. Ana duka kubwa la hardware na anafanya mambo ya usafirishaji na ameajiri watu wengine 71
Sasa vijana mnakwama wapi kuwa kama huyu? Kuweni serious
Sio kuamini boss. Najua kuna jambo au mambo hajaweka wazi. Ubilionea hauji kwa kujinyima kula ili usave 1,500/=Huamini au ?
Mkuu, umasikini hauojiwi sana sababu umasikini ni mrahisi kuupata. Vitu adimu ndo vinavyojadiliwa. Hii clip inamiss vitu vingi kumuhusu huyo bilionea.Ah wabongo utawaweza? Huyo Diamond kila siku anapigwa vita kuhusu utajiri wake. Kitu amba ho nchi mnakikubali ni shida tu. Mtu akisemwa masikini hamuwezi kuhoji kama akisema ni tajiri.
Mkuu ulitegemea clip ya 4minutes itaelezea hatua kwa hatua alipotoka hadi hapo alipo?Mkuu, umasikini hauojiwi sana sababu umasikini ni mrahisi kuupata. Vitu adimu ndo vinavyojadiliwa. Hii clip inamiss vitu vingi kumuhusu huyo bilionea.
Mkuu, Trela inabeba ujumbe wa video nzima kwa ufupi sana, sasa kama trela imesema kusave 1,500 ndo imetrigger ubilionea watu watatoa maoni kulingana na hiyo taarifa. Unless kuwe na taarifa mbadala au full video.
Mkuu ulitegemea clip ya 4minutes itaelezea hatua kwa hatua alipotoka hadi hapo alipo?
Yes. Upo sawa mkuu.Kifupi sijui kapitia njia gani,sijui ni bilionea au sio bilionea ila mimi naamini inawezekana kuwa bilionea kwa kuanzia chini kama yeye.
Hivi bado watu wanaingiza nyimbo kwenye simu?Wiki ijayo nafungua kibanda cha kuingiza nyimbo
😆😆
Eric mandala ni mfanyabiashara tajiri congo , alikuwa ana tumotivate sana kwa hustle za mitandaoni ,kakamatwa madrid na kilo 200 za cocaineEric ni nani?
Sasa mkuu unataka wote tuwe bilionea? Itakuwa nchi ya namna gani!Wakuu,
Kuna muda kama vijana inabidi muwe serious na maisha.
Kuna huyu kijana nimemuona huko Azam TV anasema alianza kwa kuchoma CD yaani nyimbo moja alikuwa anaweka kwa Tsh 100 aka-fight sana.
Anasema alikuwa kwa siku alikuwa anatumia 1000 mpaka 1500 tu kuna kipindi mpaka akaumwa vidonda vya tumbo.
Sasa hivi ni Bilionea mkubwa tu. Ana duka kubwa la hardware na anafanya mambo ya usafirishaji na ameajiri watu wengine 71
Sasa vijana mnakwama wapi kuwa kama huyu? Kuweni serious
Mtu anaiba, anafanya ufisadi au madawa ya kulevya. Kisha anaanza kudaganya kuwa alienda kwa mganga, au ni hela za majini. Au ni freesoman, utasikia ''mimi huwa nalala kwenye jeneza''.Ubaya hawaelezi mwanzo wa hizo hela. Hawaelezi mchakato hadi kafika hapo anaeleza tu alikuwa anachoma cd
Sasa je ni hizo cd zilimfanya akawa bilionea au kitu gani ambacho alifanya kikampa hela akatusua hadi kufika hapo?
Au alikuwa anasave hela ya cd hadi kupata mtaji wa hardware?
Mungu ndio anajua na ndie anaepanga ,tunpe hongera
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783] sahii unamiliki hotel nyota 5 siyo [emoji23][emoji23][emoji23]
🤠🤠[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]