Video: Vijana kuweni serious. Kuna huyu Thobias Kahimba alianza kwa kuchoma CD kwa Tsh 100 hadi amekuwa Bilionea. Mnakwama wapi?

N
Wakuu,

Kuna muda kama vijana inabidi muwe serious na maisha.

Kuna huyu kijana nimemuona huko Azam TV anasema alianza kwa kuchoma CD yaani nyimbo moja alikuwa anaweka kwa Tsh 100 aka-fight sana.

Anasema alikuwa kwa siku alikuwa anatumia 1000 mpaka 1500 tu kuna kipindi mpaka akaumwa vidonda vya tumbo.

Sasa hivi ni Bilionea mkubwa tu. Ana duka kubwa la hardware na anafanya mambo ya usafirishaji na ameajiri watu wengine 71

Sasa vijana mnakwama wapi kuwa kama huyu? Kuweni serious

Na wewe umeamini ?

Anyway umewauliza vijana wa kwenye ukoo wako mahala wanapo kwama kuwa kama huyu ?
 
Wakuu,

Kuna muda kama vijana inabidi muwe serious na maisha.

Kuna huyu kijana nimemuona huko Azam TV anasema alianza kwa kuchoma CD yaani nyimbo moja alikuwa anaweka kwa Tsh 100 aka-fight sana.

Anasema alikuwa kwa siku alikuwa anatumia 1000 mpaka 1500 tu kuna kipindi mpaka akaumwa vidonda vya tumbo.

Sasa hivi ni Bilionea mkubwa tu. Ana duka kubwa la hardware na anafanya mambo ya usafirishaji na ameajiri watu wengine 71

Sasa vijana mnakwama wapi kuwa kama huyu? Kuweni serious

Yule jamaa wa MBINGA au ni mwingine?
Kama ni wa MBINGA ni kweli alianzia ulikosema.
Sasa alirukaje ukuta mpaka kuwa billionaire kadanganganya saaaaana usimuige.
 
Mtu anaiba, anafanya ufisadi au madawa ya kulevya. Kisha anaanza kudaganya kuwa alienda kwa mganga, au ni hela za majini. Au ni freesoman, utasikia ''mimi huwa nalala kwenye jeneza''.

Lengo ni kupotosha wasijue ukweli.
Hili andiko lako limenifanya niwaze sana.
 
Nimeona video,ni yeye
Wakuu,

Kuna muda kama vijana inabidi muwe serious na maisha.

Kuna huyu kijana nimemuona huko Azam TV anasema alianza kwa kuchoma CD yaani nyimbo moja alikuwa anaweka kwa Tsh 100 aka-fight sana.

Anasema alikuwa kwa siku alikuwa anatumia 1000 mpaka 1500 tu kuna kipindi mpaka akaumwa vidonda vya tumbo.

Sasa hivi ni Bilionea mkubwa tu. Ana duka kubwa la hardware na anafanya mambo ya usafirishaji na ameajiri watu wengine 71

Sasa vijana mnakwama wapi kuwa kama huyu? Kuweni serious

.
Ninakusihi kama unapata fedha ya ziada na unalipa ada za watoto wako,pambana hivyo hivyo lkn km unataka mateso muige huyo dogo.
 
Ila wakina Zuckerberg na Steve Jobs hadi speeches zao mnasikiliza freshi.

Shida yenu maisha yenu yana-rotate around social media.

Mkata viuno Diamond akisema yeye ni tajiri mnakubali ila akisema mtu ambaye hujawahi kumuona hamuamini.

Hivi mnajisikia?
Nchi za magharibi na us kona kona hakuna kirahsi ndio maana hata trump walinshitaki kwenye masuala ya kodi na ku inflate asset zake
 
Mtu anaiba, anafanya ufisadi au madawa ya kulevya. Kisha anaanza kudaganya kuwa alienda kwa mganga, au ni hela za majini. Au ni freesoman, utasikia ''mimi huwa nalala kwenye jeneza''.

Lengo ni kupotosha wasijue ukweli.
Huyo jamaa inawezekana kabisa kweli kapata hela ni zake

Hilo halina ubishi

Hongera kwake

Atufundishe pia alikopesheka vipi yaani dhamana kwa kipindi kifupi ndio tatizo la wengi
 
Aache upumbavu. Amtaje fisadi mwenye hizo mali. Ukiona mtu anaita media kuongelea utajiri wake jua ni mchezo wa UTAKATISHAJI unafanyika. Hawa vijana wanaojitokeza kwenye media wanatumika kutakatisha.
 
Duh sio poa kuna mdau kaandika juu apo ukiwa na uwezo wa kutunza M5 kwa mwezi kwa miaka 40 ndo unafikisha B 2.4

Aah kubabeki mabilionea waheshimiwe ata kama wezi , mafisadi! not easy oo
 
toa porojo zako hapa, hii ni story ya kisenge tu, haina maana yoyote. kila mtu ana njia yake ya kufanikiwa.usitake tufanane.
 
Wakuu,

Kuna muda kama vijana inabidi muwe serious na maisha.

Kuna huyu kijana nimemuona huko Azam TV anasema alianza kwa kuchoma CD yaani nyimbo moja alikuwa anaweka kwa Tsh 100 aka-fight sana.

Anasema alikuwa kwa siku alikuwa anatumia 1000 mpaka 1500 tu kuna kipindi mpaka akaumwa vidonda vya tumbo.

Sasa hivi ni Bilionea mkubwa tu. Ana duka kubwa la hardware na anafanya mambo ya usafirishaji na ameajiri watu wengine 71

Sasa vijana mnakwama wapi kuwa kama huyu? Kuweni serious

Wakuu,

Kuna muda kama vijana inabidi muwe serious na maisha.

Kuna huyu kijana nimemuona huko Azam TV anasema alianza kwa kuchoma CD yaani nyimbo moja alikuwa anaweka kwa Tsh 100 aka-fight sana.

Anasema alikuwa kwa siku alikuwa anatumia 1000 mpaka 1500 tu kuna kipindi mpaka akaumwa vidonda vya tumbo.

Sasa hivi ni Bilionea mkubwa tu. Ana duka kubwa la hardware na anafanya mambo ya usafirishaji na ameajiri watu wengine 71

Sasa vijana mnakwama wapi kuwa kama huyu? Kuweni serious

Ngoja nianze kukusanya manyoya ya kuku ili nipate kuku wengi baadae niwe tajiri. Utakatishaji hela ni vigumu sana kuudhibiti. Umejaa story za kitoto kitoto sana.
 
Back
Top Bottom