tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,894
- 19,779
Mwenyekiti fisadi mkuu,ulitegemea wafuasi wake wawe wa namna ganiHii ndio sababu kubwa ya vijana hawa kutokwa povu hapa jf hata kwa mambo yasiyo na mashiko , jionee mwenyewe
Kawe alumni ndio dem mwenyewe,mana yuko geto anaugulia maumivuMmoja alimchukulia demu wake, ndiyo sababu
CCM itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu ujaoChama cha kijinga sana na kinaenda kuanguka kwa kishindo
Praise team wote wapo wengi wako ndani wamepasuliwa kinoma kisa bk7 kuna wengine wameongezewa kinyemela hadi bk15 kwa post kulingana na ubora kwani mwanzoni walikuwa wanalipwa flat rate kwa post.Nimemuona Kawe Alumni hapo![emoji16][emoji16][emoji16]
Mmeishiwa hoja si bure.stroke
johnthebaptist
Magonjwa Mtambuka
&Co Ltd, Vp tena bk7 inagombaniwa au
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Du!wewe ni mmoja wao.Praise team wote wapo wengi wako ndani wamepasuliwa kinoma kisa bk7 kuna wengine wameongezewa kinyemela hadi bk15 kwa post kulingana na ubora kwani mwanzoni walikuwa wanalipwa flat rate kwa post.
Sent using Jamii Forums mobile app
CHADEMAChama cha kijinga sana na kinaenda kuanguka kwa kishindo
Mkuu kweni kuna ubaya gani kugombania buku kadhaaMmeishiwa hoja si bure.
Ubaya ni kupost mambo yasiyokuwa na tija.Mkuu kweni kuna ubaya gani kugombania buku kadhaa
Chama cha kijinga sana na kinaenda kuanguka kwa kishindo
Kwa akili yako nina mtazamo wa kuzimu mimi?Du!wewe ni mmoja wao.
Ndiyo maana wanatangazwa walioshindwa..kuchekacheka nako siyoUmeona wapi hizo posha? Acheni kuzusha, mnaufanya uanamageuzi kuwa upinzani wa kichekesho
Sasa yote hayo ungayajuaje kama si muhusika.
Haiwezikani watu waumize vichwa kutunga uwongo na kudizaini matusi mapya halafu wanyimwe posho stahiki, ngoja waendelee kupasuana mpaka haki itendeke.Mkuu kweni kuna ubaya gani kugombania buku kadhaa