lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,908
- 5,513
Kwani mijitu yenyewe ina akili za kutosha,siri wanazitoa wenyewe ili kukomoana,na sisi kama kawa zetu kuni ili moto uwake fresh.Sasa yote hayo ungayajuaje kama si muhusika.
Akili hawana?? Michezo yoote hiyo , hamuoni mnaingizwa kingi ? Mwingine huo hapo uko milangoni mwenu bado upo fresh.haya sasa wenye akili chezeni huo mchezo.Kwani mijitu yenyewe ina akili za kutosha,siri wanazitoa wenyewe ili kukomoana,na sisi kama kawa zetu kuni ili moto uwake fresh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe ni mmoja wao bila shaka mbona povu jingi?Akili hawana?? Michezo yoote hiyo , hamuoni mnaingizwa kingi ? Mwingine huo hapo uko milangoni mwenu bado upo fresh.haya sasa wenye akili chezeni huo mchezo.
Umeona wapi hizo posha? Acheni kuzusha, mnaufanya uanamageuzi kuwa upinzani wa kichekesho
muulize mmeoAu labda hujui maana ya posho,sioni kitu posho hapo tofauti na kuona watu walio vaa suruali na nguo za kijani,je mtu yoyote akivaa nguo ya kijani na suruali nyeusi ana kuwa ni CCM member?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata akipewa mmeo inatoshaEti kinaenda kuanguka,wapinzani kupewa nchi itachukua muda almost miaka 100 ijayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli ni ajabu , kwani kwa akili ulizonazo sikutegemea kama wagonjwa wa mirembe wanaweza kuandika sentensi iliyokamilika.
Tueleze kwa nini wanataka kutoana ngeu?
Mmekubuhu kwa kubadirisha story, yaani mmefundishwa kukingia kifua chama hata kama kikivuruga mnakuja hapa jamvini kutetea "eti mmoja alichukua demu wa mwenzake", halafu mntaka viongozi wa dini wawaombee, tubuni kwanza ndio muombe kuombewa, wauaji wakubwa nyieMmoja alimchukulia demu wake, ndiyo sababu
Kwi! Kwi! Kwi!
Pole sana mkuuMmeishiwa hoja si bure.
Nchi haipewi inachukuliwaEti kinaenda kuanguka,wapinzani kupewa nchi itachukua muda almost miaka 100 ijayo
Sent using Jamii Forums mobile app