Pre GE2025 VIDEO: Vijana wajipaka matope mwili mzima na kupita mbele ya Rais Samia kwenye birthday ya CCM

Pre GE2025 VIDEO: Vijana wajipaka matope mwili mzima na kupita mbele ya Rais Samia kwenye birthday ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Vijana kama vijana kutwa busy na mambo ya uchawa tu!

Kikundi cha Vijana Waliojipaka Matope mwili mzima ni miongoni mwa watu waliopata fursa ya kuwepo kwenye maandamano ya watu elfu 5 walioingia uwanjani na kupita mbele ya Rais Samia kwenye sherehe za miaka 48 ya CCM mkoani Dodoma.

Soma, Pia
 
Usengerema mtupu.

CCM imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutumia vyema mtaji wake wa upumbavu na ufukara wa wananchi wa Tz kuweza kujijengea mizizi.

Kwa akili ya kawaida ingekuwa kuna uelewa na kutokuwepo na dhiki kwa wananchi, hakuna mtu mwenye akili timamu angekubali kujidhalilisha kama hivyo kwa kujijaza matope mwilini ikiwa viongozi wamo kwenye magari na kumbi zenye Ac.
Ingekuwa kusherehekea ni kujipaka matope basi angejipaka Samia na Wassira kwanza, kama viongozi wa juu ilipaswa wawe na furaha zaidi.

Hapo ukiuliza hao kina Lucas Mwashambwa waliojipaka matope wamepewea elfu 5 kila mmoja ili wajidhalilishe ila ndani ya nafsi zao wanajua fika kuwa hakuna la maana walilofanyiwa na CCM.
 
1000285438.jpg
 
Maana yake ni vijana wa CCM = Zombies! Hawana fikra yoyote. Ndio maana mzee wa miaka zaidi ya 80: Wasira anakuwa recycled siku zote. Hii ni kudhalilisha ujana! Wanaharakati wasikemee udhalilishaji wa wanawake tu bali pia vijana wa CCM waliofanywa Zombies watetewe.
 
Back
Top Bottom