Pre GE2025 VIDEO: Vijana wajipaka matope mwili mzima na kupita mbele ya Rais Samia kwenye birthday ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu

Vijana kama vijana kutwa busy na mambo ya uchawa tu!

Kikundi cha Vijana Waliojipaka Matope mwili mzima ni miongoni mwa watu waliopata fursa ya kuwepo kwenye maandamano ya watu elfu 5 walioingia uwanjani na kupita mbele ya Rais Samia kwenye sherehe za miaka 48 ya CCM mkoani Dodoma.

Soma, Pia
1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umaskini
4. Uchawa na Kujipendekeza

Ni JANGA katika taifa hili la Dunia ya tatu
 
Wakuu

Vijana kama vijana kutwa busy na mambo ya uchawa tu!

Kikundi cha Vijana Waliojipaka Matope mwili mzima ni miongoni mwa watu waliopata fursa ya kuwepo kwenye maandamano ya watu elfu 5 walioingia uwanjani na kupita mbele ya Rais Samia kwenye sherehe za miaka 48 ya CCM mkoani Dodoma.

Soma, Pia
Kwani yule aliyekuwa anagalagala kwenye vumbi na suti akishukuru kwa ujenzi wa barabara hamkumuona?
Njaa mabya sana,hawa wamelimwagia vumbi maji ili liwe tope ili waoneshe uchawa wenye ngazi ya ukunguni.
 
Kwa hao waliojipaka tope .......kama una ndugu pale mtoe fungu kwa mganga .......maana huyo atakuwa hana faida kabisaaa
 
Sijadhubutu kuifungua hiyo video kwakeli
Maana siamini Kuna watu wenye akili za hivyo
Ila comment zinaonyesha huenda ni kweli limetokea jambo Hilo mbele ya mkuu wa nchi

Labda mnisaidie maana yake ni nini
Au inaashiria ndo Naweza kuona
 
Kama hawajalazimishwa kufanya hivyo binafsi sioni shida ilipo
 
Kwa hao waliojipaka tope .......kama una ndugu pale mtoe fungu kwa mganga .......maana huyo atakuwa hana faida kabisaaa
Naunga mkono..Kuna watu hata ukiwatoa kafara , Mungu na ndugu wanaojielewa watakuelewa tu.
 
Wakuu

Vijana kama vijana kutwa busy na mambo ya uchawa tu!

Kikundi cha Vijana Waliojipaka Matope mwili mzima ni miongoni mwa watu waliopata fursa ya kuwepo kwenye maandamano ya watu elfu 5 walioingia uwanjani na kupita mbele ya Rais Samia kwenye sherehe za miaka 48 ya CCM mkoani Dodoma.

Soma, Pia
Tusubilie Kagame aje ajichukulie na Kigoma maana watu hawana akili
 
Kifupi, kijana, huna kazi, njaa, KUWA CHAWA UGAMBE MITAANI NA MTANDAONI!
CHUKUWACHAKOMAPEMA KWELI WAJANJA!
 
Pumbavu. Nimekuuliza swali jibu swali , umejipaka matope?
gentleman,
relax,
na mskize kwa makini mwenyekiti wa ccm Taifa Dr.samia suluhu hassan, tusije mbele tukashikana mashati :BASED:
 
Wakuu

Vijana kama vijana kutwa busy na mambo ya uchawa tu!

Kikundi cha Vijana Waliojipaka Matope mwili mzima ni miongoni mwa watu waliopata fursa ya kuwepo kwenye maandamano ya watu elfu 5 walioingia uwanjani na kupita mbele ya Rais Samia kwenye sherehe za miaka 48 ya CCM mkoani Dodoma.

Soma, Pia
Siasa chafu za Ushabiki bila Hoja
 
Wakuu

Vijana kama vijana kutwa busy na mambo ya uchawa tu!

Kikundi cha Vijana Waliojipaka Matope mwili mzima ni miongoni mwa watu waliopata fursa ya kuwepo kwenye maandamano ya watu elfu 5 walioingia uwanjani na kupita mbele ya Rais Samia kwenye sherehe za miaka 48 ya CCM mkoani Dodoma.

Soma, Pia
Nchi ambayo wananchi wake wanaoishi na virusi vya UKIMWI hawajui hatima ya maisha yao baada ya msaada kukatishwa, huku wafanyakazi wa mashirika hayo wakiwa wanaona giza mbele yao.
Rais wao yupo kufanya birthday taifa.
 
Hivi haya ya ccm ninini?
Chama kimekosa watu wenye akili kabisa kushauri mambo yenye tija?
Kweli sikio la kufa ..................................................
 
Back
Top Bottom