Pre GE2025 VIDEO: Vijana wajipaka matope mwili mzima na kupita mbele ya Rais Samia kwenye birthday ya CCM

Pre GE2025 VIDEO: Vijana wajipaka matope mwili mzima na kupita mbele ya Rais Samia kwenye birthday ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maana yake ni vijana wa CCM = Zombies! Hawana fikra yoyote. Ndio maana mzee wa miaka zaidi ya 80: Wasira anakuwa recycled siku zote. Hii ni kudhalilisha ujana! Wanaharakati wasikemee udhalilishaji wa wanawake tu bali pia vijana watetewe.
Ni sahihi kabisa tajiri.
 
Hawa sio wale wapuuzi wa arusha wanaoitwa wadudu?
 
Mungu Baba, ninyime tamaa, ujinga na kuabudu binadamu. Ila naomba unipe akili ya kujitambua.

Mkiona mtu kaamua kulowea nchi za watu, mengine ni haya yanasababisha, ni aibu kuwa nchi moja na viumbe wa aina hii. Huwa najiuliza ni pesa na vyeo tu? Au na akili pia hazimo?
 
Raisi wa jobless promax, ndio maazimio mliyoyajadili kwenye vikao vyenu?
 
Muasisi wa Huu Uchawa na kutukuza rais ni Mwendazake, Kwa hili huko aliko aongezewe adhabu ya viboko vingi sana
 
Ndio mana trump alitutukana na kutuita shitholes countries..na kweli sisi ni shitholes. Na saiv karud madarakani mtaimba haleluya ..
 
Ukishakuwa shabiki wa ccm n lazima uwe mpumbavu pia
 
Back
Top Bottom