Roboti Wa Nape
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,174
- 2,876
Ni sahihi kabisa tajiri.Maana yake ni vijana wa CCM = Zombies! Hawana fikra yoyote. Ndio maana mzee wa miaka zaidi ya 80: Wasira anakuwa recycled siku zote. Hii ni kudhalilisha ujana! Wanaharakati wasikemee udhalilishaji wa wanawake tu bali pia vijana watetewe.
Nimemuona Comrade Lucas Mwashambwa akiwa na tope mpaka kwenye macho huku akibubujikwa na machozi ya furaha yaliyochanganyika na machozi ya njaa na kiu cha kuzurula juani 😀 😀
Hiyo ndio ntolee tena.Asubuhi walipata kifungua kinywa cha uji wa moto. Sasa ni saa Saba mchana haijulikani mchana watakula nini.
Kwa jasho mboga mboga ni chakula chetu,tuwameng'enye maana mboga mboga ni matope na matopeni watarudi.Asili yetu ni udongo wameamua kuendeleza asili🐼
Hatari sana ! 😳Hii Nchi imelogwa imelogwa imelogwa.
Wewe kama unadhani hili ni jambo la kawaida basi nawewe umelogwa Tena na mwamposa.
Duniani kote sijawahi ona hii kitu.
kama sio changamoto ya akili basi ni athari za ramli na ushirikiana zinakuandama gentleman 🐒
Ni kweli umejipaka matope?kama sio changamoto ya akili basi ni athari za ramli na ushirikiana zinakuandama gentleman [emoji205]
pole sana,Ni kweli umejipaka matope?