Pre GE2025 VIDEO: Vijana wajipaka matope mwili mzima na kupita mbele ya Rais Samia kwenye birthday ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiyo maana yake nini?
Wanawakilisha kundi la wachimbaji wadogo. Na ndivyo wachimbaji wadogo wanavyokuwa hasa wa dhahabu wakiwa kwenye shughuli zao za kuchimba, kuponda mawe, kuosha na kukamua dhahabu.
 
Obviously ndiyo hawa Chawa wake wa humu JF, it can't be otherwise.
 
 

Attachments

  • IMG-20250205-WA0021.jpg
    57.8 KB · Views: 2
Aisee kumbe ndo maana
Ona hata viongozi wao wa chama
 

Attachments

  • 20250205_080656.jpg
    257.5 KB · Views: 2
Kuna mda nikasikia nyimbo ya happy birthday nikawambia walio karib na tv wazime
 
Hao vijana si tatizo kwani mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Mimi naangalia tu nyuso za wanaopewa hiyo heshima ya matope! Heri hata makamu mwenyekiti wao ambaye inawezekana alikwepa kadhia hiyo... naamini saa hizo hakuwa pamoja nao.

Naam, wakati huo mzee wa watu yawezekana alikuwa anauchapa usingizi na alipozinduka akayakuta hayo mapanya road yameshatokomea mashimoni.. Kwa desturi panya hakai mbali na shimo na hilo tope ni ushahidi kuwa ni huko huko yalikochomoza
 
Hawa ndio sampuli ya vijana ambao wakitoka hapo wanaingia mitandaoni kuwanunia wenye ajira tena private, wakisikia ajira zao zinaelekea kukoma wanashangilia.

Wale ambao wanajukumu la kuwatengenezea ajira bila ya mafanikio badala ya kupeleka hasira zao huko ndio wanajipaka matope na kuwehuka kwa shangwe kwenye sherehe zao.

Kazi kweli kweli
 
gentleman,
relax,
na mskize kwa makini mwenyekiti wa ccm Taifa Dr.samia suluhu hassan, tusije mbele tukashikana mashati
Pumbavu. Nimekuuliza swali jibu swali , wewe ni kati ya waliojipaka matope?
 
Mi nawaza hivi mama ubongo wake upo sawa kweli!!?

Hashtuki kuona mbona CCM wamezidisha mahaba sana!!?kulikoni!!?
 
Hao ni mbwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…