FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Acha kutudharau basiUsikute huyu naye ni TISS [emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kutudharau basiUsikute huyu naye ni TISS [emoji16]
Wamtatue marinda tu ataacha nyegeHuyu Zumaridi analazimisha vijana watano kila siku kufanya nae ngono. Nenda Buhongwa pale upate stori zake. Yaani anasemekana ana nyege balaa. Muda tu humo ndani ataanza vitimbi cha nyege. Ni hatari sana huyu.
Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
Mwanza kuna misukule mamia kwa maelfuHebu tafakari, kama yeye ni mwehu hivyo, hao waumini wake ni machizi kiasi gani mpaka wamemuamini yeye awe mkuu wao?
😂😂😂😂😂Siku chache tangu Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kumkamata Diana Bundala maarufu kwa jina la Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Zumaridi, ameendelea kutrend mitandaoni kutokana na vituko vyake.
Akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza alipofikishwa na wenzake, Machi 2, 2022, alionekana kufanya vituko kadhaa ikiwemo kuwaambia waandishi wa habari kuwa: “Mmemuona Mungu?”
Nukta chache baadaye akaonekana akijibu mwandishi ambaye alimsalimia kwa kumwambia “Mungu hi!” Naye akamjibu: “Hi!” kisha akamchumu mwandishi huyo kwa mbali.
View attachment 2138340
Video: Yuhoma TV
Amekimbia, hajanijibu tena!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umepiga kwenye mshono. Hahahah
Wasisahau kumpitia kote kote!huyu wakimpeleka magereza hamalizi mwezi anapewa Unyapara au Askari selo au member of staff
akifungwa kabisa hamalizi mwka anapewa unyapara Mkuu kwa upande wa wanawake maana kwa namna
alivyofetuka akili akiingia jela akaongezea ufyetukaji kidogo akawa KAFYETUKA square,hamna kima yeyote
itamwambia kitu maana ni chizi bin mwehu huyu mungu zumaridi,hapo tu n uraia,Akika jela miaka mi 3 na Mke ataoa huko huko.
Wapelekwe tu huko wanakopataka naamini wakipitiwa kikamilifu hakuna miungu wataacha kuiona!Ni utata sana haya maswala ya imani
Watu 80+ wamegoma kupewa dhamana, wanataka wateseke na Mungu wao
Hapana huyu ni serafi wa zumaridi mfalme shoga na mungu wa kikeKuna mdau atakuja na kukuita kerubi!!!!
Hawa wenye vituko wawe wanaachwa tu kama vituko vyao havina madhara kwa jamii, huu mtindo wa kamatakamata na kushitaki mahamani ipo siku polisi watakamata na kushitaki wendawazimu mahakamani halafu polisi wenyewe ndio wataonekana kituko
Tuacheni masihara mwanamke akisuka mistari kama kichwa ndio kimekaa kama cha zumaridi
anakua kama wale binadamu wa kwanza kina homosapiens (stage 1) yani kichwa yake haina chogo
maskio ni ya kutafuta na tochi (viskio vduchuuu) halafu kwa kumalizia kile kchogo cha kutafuta na tochi kimeangalia kwa juu, weeeeee Wadada vaeni tu ma WIG nimekubaliiiiiiiiiiii na sasa naelewa wengine mko na special Case...