Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okanazuga tu huyo hata mill 2 anaweza kupiga, halafu atasingizia wamehaki simu yangu, shame on them
Idrisa alivuna 500M zikamwishia zote akashindwa mpaka kulipa pangoHata upewe sh ngapi kama kichwani hazimo zitaisha huku unaangalia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utakuja kuelewa ikifika 2025 mara paaaap Magu huyu apa
Wanadamu tumejisahaulisha sana kama tunaijua kesho vile hilo la kwanza, la pili usiishi kwa mazoea huenda ndio mwisho wa tz kuish kwa aman ukiacha mvutano walionao huko chaman wakongwe washaanza zengwe mambo yanaenda mrama nimekumegea tu.
Yaani mimi ndio namsikia leoAjabu huyo msichana ni maarufu sana kwenye mitandao ya nje. Kenya,Nigeria n.k wakati humu ndani hajulikani sana na anaonekana wa kawaida.