babyfancy JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 2,176 Reaction score 6,187 Oct 20, 2021 #101 Hata upewe sh ngapi kama kichwani hazimo zitaisha huku unaangalia
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Oct 21, 2021 #102 LWENYI said: anazuga tu huyo hata mill 2 anaweza kupiga, halafu atasingizia wamehaki simu yangu, shame on them Click to expand... Ok
LWENYI said: anazuga tu huyo hata mill 2 anaweza kupiga, halafu atasingizia wamehaki simu yangu, shame on them Click to expand... Ok
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,590 Reaction score 6,355 Oct 21, 2021 #103 babyfancy said: Hata upewe sh ngapi kama kichwani hazimo zitaisha huku unaangalia Click to expand... Idrisa alivuna 500M zikamwishia zote akashindwa mpaka kulipa pango Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
babyfancy said: Hata upewe sh ngapi kama kichwani hazimo zitaisha huku unaangalia Click to expand... Idrisa alivuna 500M zikamwishia zote akashindwa mpaka kulipa pango Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Qwy JF-Expert Member Joined Nov 23, 2018 Posts 6,238 Reaction score 31,190 Oct 21, 2021 #104 youngdonats18 said: Utakuja kuelewa ikifika 2025 mara paaaap Magu huyu apa Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
youngdonats18 said: Utakuja kuelewa ikifika 2025 mara paaaap Magu huyu apa Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
David Ben Gurion JF-Expert Member Joined Nov 1, 2018 Posts 868 Reaction score 1,384 Oct 21, 2021 #105 Duuuu radika said: Wanadamu tumejisahaulisha sana kama tunaijua kesho vile hilo la kwanza, la pili usiishi kwa mazoea huenda ndio mwisho wa tz kuish kwa aman ukiacha mvutano walionao huko chaman wakongwe washaanza zengwe mambo yanaenda mrama nimekumegea tu. Click to expand...
Duuuu radika said: Wanadamu tumejisahaulisha sana kama tunaijua kesho vile hilo la kwanza, la pili usiishi kwa mazoea huenda ndio mwisho wa tz kuish kwa aman ukiacha mvutano walionao huko chaman wakongwe washaanza zengwe mambo yanaenda mrama nimekumegea tu. Click to expand...
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Oct 21, 2021 #106 darcity said: Ajabu huyo msichana ni maarufu sana kwenye mitandao ya nje. Kenya,Nigeria n.k wakati humu ndani hajulikani sana na anaonekana wa kawaida. Click to expand... Yaani mimi ndio namsikia leo
darcity said: Ajabu huyo msichana ni maarufu sana kwenye mitandao ya nje. Kenya,Nigeria n.k wakati humu ndani hajulikani sana na anaonekana wa kawaida. Click to expand... Yaani mimi ndio namsikia leo