Video vixen, PoshyQueen adai hawezi kutokea kwenye video ya msanii wa Bongo bila milioni 5


True.

Ana ndugu yake yuko Chuo cha Diplomasia, Kurasini yuko super sana, sema yeye hauzi K kama huyu dogo.
 
Daaaah mpaka hilo sanamu la madiba limedindisha hapana chezea
 
Video vixen ndiyo watu gani hao?

Million 5 kwa kazi gani anayofanya?
 
Kama kuna ka mchina.
 
Acha tujikite viwanja vikubwa tu.

Mtu unaweza kusema urudi Bongo, hata ukifanya biashara bei ya kazi yako unaweza kutaja ukaonekana unakufuru. Ukiamua kufanya kazi, mshahara unaotakaunaweza kuripotiwa kwa Magufuli.

Acha tujikite viwanja vikubwa tu.
Tufanye basi biashara mkuu,
Hakuna mali za mitumba huko km Friji, Tv, electronics devices, nguo, viatu, mapazia, shuka nk.
Tunafungua duka kubwa la bidhaa mojawapo ya hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…