Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Huyu mtoto anaish hostel za Didiz pale posta nyuma ya NMB bank. Namna anavyovaa yaan anasikitisha maana anapenda sana kuteka attention za watu. Kuna siku alivaa nguo mpaka mwenyew akaona aibu kutoka kulifuata gari lilipo. Ilibid avizie watu walivyokaa ndio akachomoka kukimbilia kwenye gar.
True.
Ana ndugu yake yuko Chuo cha Diplomasia, Kurasini yuko super sana, sema yeye hauzi K kama huyu dogo.