Video vixen, PoshyQueen adai hawezi kutokea kwenye video ya msanii wa Bongo bila milioni 5

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Atakua anasoma ifm bila shaka
 
Ndiyo alivyoji value...

Hakuna wa kumbishia...

Ila ma video Vixen wanatiaga huruma sana... mara nyingi hawalipwagi chochote zaidi ya chakula na mavazi basi... na ile kuonekana...


Cc: mahondaw
Kuonekana ndo malipo yenyewe. Sponsors wanapatiaga hapo
 
Yuko IFM mwaka wa 3, anamalizia degree ya Insurance. Kama ilivyo wanawake wengi wenye mvuto, na yeye kaamua kupita hiyo njia.
Wanaanziaga ifm halafu wanaenda mtaani kuringishia makalio. Sanchoka nae alianziaga ifm yakamshinda
 
Kwa kipi mchumba? Kina misa wenyewe na uzuri wao wanaliwa kwa laki 2 ndo huyo mwenye shape tu? Bora hata yule demu wetu vixen mzuri million mtu anaweza toa ila si huyu bwana

Hiyo ndo bei aliyoingia nayo kwenye game, kadri anavyokosa wateja ndo anavyozidi kushuka.

Sasa hivi naona anajitangaza kwa spidi sana.
 
Nadhani hiyo ni bei ya papuchi, halafu huduma ya video vixen inatolewa kama bonus
 
Ndo huyu wa IFM??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…