Video vixen, PoshyQueen adai hawezi kutokea kwenye video ya msanii wa Bongo bila milioni 5

Video vixen, PoshyQueen adai hawezi kutokea kwenye video ya msanii wa Bongo bila milioni 5

Comments zinanikumbusha While at college. Last years huwa wanapeleka barua za kuomba kazi ktkt kampuni.
Jamaa akaitwa ktk interview ktk swali LA tukulipe shi ngapi jamaa akasema mil 2. Interviewer akamwambia tutakulipa mil 4. Jamaa akasema acha utani. Interviewer akamwambia wewe ndo umeanza utani hahaasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu mtoto anaish hostel za Didiz pale posta nyuma ya NMB bank. Namna anavyovaa yaan anasikitisha maana anapenda sana kuteka attention za watu. Kuna siku alivaa nguo mpaka mwenyew akaona aibu kutoka kulifuata gari lilipo. Ilibid avizie watu walivyokaa ndio akachomoka kukimbilia kwenye gar.
Atakua anasoma ifm bila shaka
 
Ndiyo alivyoji value...

Hakuna wa kumbishia...

Ila ma video Vixen wanatiaga huruma sana... mara nyingi hawalipwagi chochote zaidi ya chakula na mavazi basi... na ile kuonekana...

Cc: mahondaw
Kuonekana ndo malipo yenyewe. Sponsors wanapatiaga hapo
 
Kwa kipi mchumba? Kina misa wenyewe na uzuri wao wanaliwa kwa laki 2 ndo huyo mwenye shape tu? Bora hata yule demu wetu vixen mzuri million mtu anaweza toa ila si huyu bwana

Hiyo ndo bei aliyoingia nayo kwenye game, kadri anavyokosa wateja ndo anavyozidi kushuka.

Sasa hivi naona anajitangaza kwa spidi sana.
 
Mwanadada anayekuja kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii adai hawezi kutokea kwenye video yeyote ya Msanii wa Bongo yaani (video vixen) bila Shilingi Million 5 .Hii amekuwa akisikika kwenye baadhi ya interview za media mbalimbali.

Kutokana na muonekano wake unadhani anastahili hilo dau...!!!

View attachment 789791
View attachment 789809

Anaitwa Jacqueline obed
Nadhani hiyo ni bei ya papuchi, halafu huduma ya video vixen inatolewa kama bonus
 
Mwanadada anayekuja kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii adai hawezi kutokea kwenye video yeyote ya Msanii wa Bongo yaani (video vixen) bila Shilingi Million 5 .Hii amekuwa akisikika kwenye baadhi ya interview za media mbalimbali.

Kutokana na muonekano wake unadhani anastahili hilo dau...!!!

View attachment 789791
View attachment 789809

Anaitwa Jacqueline obed
Ndo huyu wa IFM??
 
Back
Top Bottom