kuna mwamba anawashangaza watu huko ticktock kwa jinsi anavyo onyesha nguvu asili (raw power) aise ilikuaje Wazungu wakatutawala !! Link hiyo hapo chini: View: https://vt.tiktok.com/ZSQEfpWHf/
Nakiri kukubali nadharia kua hata Samson alikua mwafrika mwenzetu