Video: Waasi wa Urusi waagiza raia waondoke Belgorod kwa sasa hadi mpambano uishe

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hawa wazalendo wamedhamiria kuichukua nchi yao kutoka kwa Putin na wamefanya maandalizi makubwa sana ya kufika Moscow, wasichukuliwe poa.....
Wapo radhi kujitoa mhanga na kufa kwa maelfu hadi taifa lao likombolewe.....

Marekani ashatengeneza kikosi chake Urusi, na hili ndo pigo la mwisho, hili huwa halitashindwa. Marekani sio mchezo, Urusi nayo itafanywa koloni lao, ingawa Putin ataacha watu loyal ambao watapambana milele, hence un ending unrest
 
Ogopa sana kitu inabitwa war intelligence. Hapa CIA na mashirika yakijasusi ya ulaya yameiweka Urusi njia mbanda. Hii vita sasa ina anza kuww chungu kwa Urusi. Why kama hujuwi mwanzoni mwa hii vita last year. Urusi alituma a finest komando in Side Ukraine city. Wakateka uwanja wa ndege ila Mungu sii athumani karibia wote wale special unity waliuwawa na hawakufanikisha mission. Hili lilimuuna sana Putin. Akaja na njia mpya kuingizs mavufaru na silaha kwenye msururu mrefu asijuwe wenzake wanamsubiria afike katikati wamshushie mzigo. Unaambiwa Putin amepoteza vifaa vya mabilion ya Dola na uwenda Mali amepoteza vs alio nayo nikama anapumulia machine.
Kwahiyo hili group jipya nimpango wakuigawa Urusi. Kwahiyo itafika mahali Mrusi ataomba maeneo yake vs kwakurudisha maeneo ya mwenzake stay tune
 
Marekani ashatengeneza kikosi chake Urusi, na hili ndo pigo la mwisho, hili huwa halitashindwa. Marekani sio mchezo, Urusi nayo itafanywa koloni lao, ingawa Putin ataacha watu loyal ambao watapambana milele, hence un ending unrest
Hii nchi itakuja kuparaganyika, alivyochukua majimbo Ukraine, ndivyo ambavyo majimbo yake nayo yatajimega.
 
US waungeni mkono hawa waasi.

Kuna mchezo wa hali ya juu unachezwa hapa, hii ndio muarubaini wa Urusi, maana kwa sasa Urusi ikivamiwa kijeshi watabonyeza manyuklia, hivyo mchezo umesukwa ndani kwa ndani Urusi na kwa sasa raia wengi na wanajeshi wa Urusi wana hasira na kile Putin amewafanya hivyo waasi hawatakua na kazi ngumu.
 
Affirmative, raia wengi russia wana hasira, hakuna wanachogain ktk hii vita zaidi ya maisha magumu na vifo kwa ndugu zao.
 
Back
Top Bottom