Video: Waasi wa Urusi waagiza raia waondoke Belgorod kwa sasa hadi mpambano uishe

Kuna mchezo wa hali ya juu unachezwa hapa, hii ndio muarubaini wa Urusi, maana kwa sasa Urusi ikivamiwa kijeshi watabonyeza manyuklia, hivyo mchezo umesukwa ndani kwa ndani Urusi na kwa sasa raia wengi na wanajeshi wa Urusi wana hasira na kile Putin amewafanya hivyo waasi hawatakua na kazi ngumu.
Ila vinapatikana vifaa vya mmarekani huko........ Ramzan kadirov atajibu kwa mashambulizi ya kigaidi ulaya nzima itatikisika..... Mnawajua wa chechnya??? Hao ndo waliomuendesha mrusi hadi akawakubali akawaachia jimbo lao wajitawale ila ndani ya urusi........ Wagner wanapigana kwa style ya kijihadi mission iliobaki ni kuipiga ulaya kwa matukio ya kigaidi hapo sasa watakodiwa watu kutoka mashariki ya kati na kazi itaanzia uingereza
 
Dogo unajifanya kuijua vita na mbinu za urusi kuliko hata unavyowajua watoto wa nje wa babako.
 
Imekuwaje Russia nayo imevamiwa?
Mrusi haya mambo kwake kawaida kabisa na anaweza kuyadhibiti shida ni pale moto wa hivi akiwapelekea ulaya watauweza???? Hakuna waasi waliomsumbua Putin kama wa Chechnya hadi wana kikosi chao special cha jeshi ndani ya urusi hao jamaa ni jihadi zaidi ya wagner....... Ramzan Kadyrov anacheki kwa mbaali,,, hawa waasi wa sasa ni wachumba tu na pia inaweza ikawa ni false flag..... Russia ni nchi ya wahuni wanaweza kufanya mambo usiyodhania ndo maana wanaitwa ni Anti Christ of the anti christ
 
Kama raia wake wanahama na kusambaratika kuihama nchi hili ni pigo la mwaka
 
Mrusi kapitia makubwa zaidi ya hayo ndo maana hapelekeshwi sio nchi ya mashoga hio..... Kule ni kwa wahuni aka ma Oligarch
 
Mkuu hawa sio waasi hawa ni ''Jeshi la askari watiifu'' wanataka nchi yao iondokane na udikteta uliokubuhu kwa bwana Putin na kusimamisha demokrasia ambayo itatoa haki kwa wote na Urusi kukomboka.

Na wala usiwe na wasiwasi bila shaka nyuma yao yuko mnyama anaitwa US
Marekani na nchi inayoziunga mkono zitapigwa matukio ya kigaidi hazitapata ona.............. Maana kuna silaha zake pia zimeshaingia kwenye blackmarket ni muda tu unasubiriwa
 
Mkuu hawa sio waasi hawa ni ''Jeshi la askari watiifu'' wanataka nchi yao iondokane na udikteta uliokubuhu kwa bwana Putin na kusimamisha demokrasia ambayo itatoa haki kwa wote na Urusi kukomboka.

Na wala usiwe na wasiwasi bila shaka nyuma yao yuko mnyama anaitwa US
Hawa wahuni na huyo USA watapigwa kama ngoma, waanze kujiliza huko UN.
 
Back
Top Bottom