Tuliwaambia Russia ni school boys watu hawakuelewa.
FSB walimpelekea taarifa Putin kuwa assessment yao inaonyesha Ukraine wanaipenda sana Russia na Russia wanaungwa mkono sana nchini Ukraine kiasi ambacho Russia wakituma majeshi watapokelewa kwa red carpet with two hands.
Putin akakubali kwa kuona if that's the case then, this will just be a Special Millitary Operation ya siku 3 tu, hakuona kabisa kuwa anaingia vitani.
Wakati yeye amejipanga hivyo, wenzake walikua wamejianfaa kwenda naye kwa hadi miaka 10. Sasa hapo mtapima wenyewe, anaingia na hesabu za siku tatu wakati wenzake wamejiandaa kumchezesha segele la miaka 10.
Kinachoenda kutokea ni kwamba, hali ya maisha inazidi kuwa duni na tete nchini Russia, wananchi taratibu wataanza kupoteza uoga wa kufa kipumbavu na kuamua to die for a reason. Kufikia hapo uasi unakua umeshajitengeneza.
Hilo eneo Belgorod ni Km 670 kutoka hapo hadi Russia mwendo wa masaa nane, wakati kutoka Belgorod hadi Ukraine bordee ni km 50.
Hali ikiendelea hivyo kwa waasi kuji establih ndani ya Russia, basi Russia atakua na wakati mgumu kwani atalazimika kuanz kushambulia nchi yake mwenyewe kama ambavyo ameshaanza hivi sasa, na wananchi wa maeno yaliyokamatwa na waai watajiunga nap waasi kupigana dhidi ya majeshi ya serikali ambayo wakati wakijaribu kuzima uasi watakua walitumi nguvu zote na kikatili kiasi cha kupandikiza chuki kubwa dhidi ya wananchi.
Upepo wa uasi utakwenda kasi kiasi vijana wengi zaidi watajitokeza kutoka sehemu mbalimbali nchini Russia kwenda kujiunga na waasi. Mpaka japo Moscow itakua inahesabiwa mawiki kadhaa tu, wakati maeneo ya Siberia na Chenchinya na wao watainuka kutaka kujitengap na kuwa nchi huru.
Tuendelee kufuatilia kwa kapdili zinavyokuja