Hawa wazalendo wamedhamiria kuichukua nchi yao kutoka kwa Putin na wamefanya maandalizi makubwa sana ya kufika Moscow, wasichukuliwe poa.....
Wapo radhi kujitoa mhanga na kufa kwa maelfu hadi taifa lao likombolewe.....
Ogopa sana kitu inabitwa war intelligence. Hapa CIA na mashirika yakijasusi ya ulaya yameiweka Urusi njia mbanda. Hii vita sasa ina anza kuww chungu kwa Urusi. Why kama hujuwi mwanzoni mwa hii vita last year. Urusi alituma a finest komando in Side Ukraine city. Wakateka uwanja wa ndege ila Mungu sii athumani karibia wote wale special unity waliuwawa na hawakufanikisha mission. Hili lilimuuna sana Putin. Akaja na njia mpya kuingizs mavufaru na silaha kwenye msururu mrefu asijuwe wenzake wanamsubiria afike katikati wamshushie mzigo. Unaambiwa Putin amepoteza vifaa vya mabilion ya Dola na uwenda Mali amepoteza vs alio nayo nikama anapumulia machine.Hawa wazalendo wamedhamiria kuichukua nchi yao kutoka kwa Putin na wamefanya maandalizi makubwa sana ya kufika Moscow, wasichukuliwe poa.....
Wapo radhi kujitoa mhanga na kufa kwa maelfu hadi taifa lao likombolewe.....
Hicho sio kikosi cha kawaida wewe tuliaUS waungeni mkono hawa waasi.
Hii nchi itakuja kuparaganyika, alivyochukua majimbo Ukraine, ndivyo ambavyo majimbo yake nayo yatajimega.Marekani ashatengeneza kikosi chake Urusi, na hili ndo pigo la mwisho, hili huwa halitashindwa. Marekani sio mchezo, Urusi nayo itafanywa koloni lao, ingawa Putin ataacha watu loyal ambao watapambana milele, hence un ending unrest
US waungeni mkono hawa waasi.
Ha ha ha sawa mkuu ngoja nitulie.Hicho sio kikosi cha kawaida wewe tulia
Affirmative, raia wengi russia wana hasira, hakuna wanachogain ktk hii vita zaidi ya maisha magumu na vifo kwa ndugu zao.Kuna mchezo wa hali ya juu unachezwa hapa, hii ndio muarubaini wa Urusi, maana kwa sasa Urusi ikivamiwa kijeshi watabonyeza manyuklia, hivyo mchezo umesukwa ndani kwa ndani Urusi na kwa sasa raia wengi na wanajeshi wa Urusi wana hasira na kile Putin amewafanya hivyo waasi hawatakua na kazi ngumu.
Hao watapigwa kama ngoma.Hawa wazalendo wamedhamiria kuichukua nchi yao kutoka kwa Putin na wamefanya maandalizi makubwa sana ya kufika Moscow, wasichukuliwe poa.....
Wapo radhi kujitoa mhanga na kufa kwa maelfu hadi taifa lao likombolewe.....
Waasi watakufa vibaya sana.US waungeni mkono hawa waasi.
Uchumi na ushawishi wa Urusi umeongezeka duniani mara dufuAffirmative, raia wengi russia wana hasira, hakuna wanachogain ktk hii vita zaidi ya maisha magumu na vifo kwa ndugu zao.
Tayari wengi tumeshawamaliza, wamebaki waasi wa hapa Jf tu.Waasi wata nyonywa Kama tt.
Hamna kitu hapo.
Na wateketee kwa jina la putinTayari wengi tumeshawamaliza, wamebaki waasi wa hapa Jf tu.
Wawaunge mkono mara ngapi?US waungeni mkono hawa waasi.
Putin atawamaliza hawa magaidi wa USANa wateketee kwa jina la putin