Kenya hawataki unafiki, wanakupa yako hapo hapo, jamaa amesema ukweli.
Ndo matunda ya katiba nzuri hayo,Siasa za Kenya ni different game kabisa
Jamaa sio wa mchezomchezo.
My word ,this is really hitting below the belt. Kenya politics sio muchezo. Ila jamaa aliyerusha ngumi amesahau nasaha za Mandago-
Hao watu wawili wanaopigana wote ni wabunge.huyo aliyerusha ngumi ndio Ruto ?
halafu huyo chalii nani kruhusu kuzungumza
Acha mbwembwe,aliyenyanyuka na kwenda kupigana na mwongeaji sio Ruto,ni Mpambe mfuasi wa Ruto
So much provoked
Hapo hawajapigana ila kuna mmoja kakosakosa kupigwaHao watu wawili wanaopigana wote ni wabunge.