Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 2,933
- 8,112
Utakatishaji hela.USAID ina faida gani kwa wamarekani? Kwamba wanatuonea huruma sisi wa-Africa au ni vipi.
Trump ashikilie hapo hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakatishaji hela.USAID ina faida gani kwa wamarekani? Kwamba wanatuonea huruma sisi wa-Africa au ni vipi.
Trump ashikilie hapo hapo
Salama condom zinazalishwa bongoNa dawa ya mbu pia tunatoa China
Actually hatoweza sababu yeye si member wa congress au GOP, and Yes wanaweza mzuiaBado hawajasema, Ellon shikilia hapo hapo
Kabisaa na jinsi ya kuucheza wanajua wenyewe.Huu mchezo wanaujua wenyewe huko!
Balozi wa Marekani alikuwa anaongea kwa mbwembwe na kifua kipana kwa sababu ya msaada wanayotupa, kwa nchi kama hii ambayo hatuna biashara ya maana na US bila msaada sasa hivi balozi wao akiongea kitu ataonekana kama kinyago cha mpapure tu, hakuna atakayemtilia maanani.USAID ina faida gani kwa wamarekani? Kwamba wanatuonea huruma sisi wa-Africa au ni vipi.
Trump ashikilie hapo hapo
Zinatoka India/ ama nchi nyingine ya Asia zikiwa zimechapwa nembo msd na nyinginezo zinazouzwa bongoSalama condom zinazalishwa bongo
Mainjinia wetu wengi walighushi vyeti kisha wakapewa kazi na mzee wa Msoga wakawa wanalipwa mshahara pasipo kufanya kazi yoyote....Ajabu sana. Lakini tuna mainjinia maelfu Kwa mamia yanazagaa tu mtaani yamesomea huko huko china asee
Hao ni wasambazaji na sio wazalishajiSalama condom zinazalishwa bongo
Kumbe!Utakatishaji hela.
Hivi kumbe? Tunazalisha kitu gani sasa ?Hao ni wasambazaji na sio wazalishaji
Kumbe hatuweze kitu aseee🥲Zinatoka India/ ama nchi nyingine ya Asia zikiwa zimechapwa nembo msd na nyinginezo zinazouzwa bongo
Mapema sana mkuu,Niliwaza hii ishu, kumbe tiari
Term hii ya trump madarakani ni ya mchaka mchaka kwa taifa la marekani, walimchagua Trump kwa mihemuko lakini hawakujua outcomes, sasa Trump ni mbaguzi wa wazi lakini cha kushangaza amempa rungu muhamiaji huyo huyo aiadhibu marekani Elon MuskWakuu,
Huko nchini Marekani, viongozi na baadhi ya wabunge wameandamana nje ya jengo la USAID wakitaka shirika hilo lirudishwe na misaada irudi haraka sana.
Jamii Raskin ambaye ni mbunge kutoka jimbo la Maryland aliongozana na wabunge wengine wakitaka shirika hilo LIRUDISHWE na Elon Musk asijihusishe na shughuli zozote za kiserikali.
"Elon Musk hukuitengeneza USAID, Marekani kupitia bunge ilifanya hivyo kwa ajili ya Wamarekani. Hana nguvu ya kuiharibu (USAID) na nani ataenda kumdhibiti (Elon)? Ni sisi hapa. Hatuna mhimili wa nne wa serikali unaoitwa Elon Musk"
===================
Elon Musk sio mbunge wala hajachaguliwa na wananchi wa Marekani kwanini Trump anampa mamlaka makubwa sana na hajachaguliwa wala kupitishwa na bunge?
tuna kama laana flani hivi amazingKwenye condom umeenda mbali sana hata vile vijiti vya kujichokonoa kwenye meno tunatoa china!!!
Mbona huwa inaonekana kuwa ni impoted kutoka India?Tanzania dawa limited inatengeza, salama condom.
Ni India asee😁Mbona huwa inaonekana kuwa ni impoted kutoka India?
Ngoja nitaangalia tena
KUMBE HUKO MAREKANI NAPO KUNA WABUNGE WALIOISHIA DARASA LA SABA😂😂😂😂Mwenyezi-Mungu ambariki Elon Musk pamoja na Donald Trump wayadhibiti mafisadi yote ya U.S.A
naam wakaribishe chama Cha ma jobless pro maxNawakaribisha hao wadau huku mtaani, Intelligent businessman bila shaka chama chetu Cha Jobless Pro max kitapata wanachama waunga mkono juhudi
hakika maana wengi kwasasa wapo majumbani na hawajui hatima yaoNGOs za Bongo zilizo chini ya udhamini wa USAID zinaelekea kufungwa. Tutarajie wadau kupoteza kazi