VIdeo: Wabunge wa Marekani waandamana hadi mbele ya jengo la USAID wakitaka misaada irudishwe haraka, wataka Elon adhibitiwe!

VIdeo: Wabunge wa Marekani waandamana hadi mbele ya jengo la USAID wakitaka misaada irudishwe haraka, wataka Elon adhibitiwe!

USAID ina faida gani kwa wamarekani? Kwamba wanatuonea huruma sisi wa-Africa au ni vipi.
Trump ashikilie hapo hapo
Balozi wa Marekani alikuwa anaongea kwa mbwembwe na kifua kipana kwa sababu ya msaada wanayotupa, kwa nchi kama hii ambayo hatuna biashara ya maana na US bila msaada sasa hivi balozi wao akiongea kitu ataonekana kama kinyago cha mpapure tu, hakuna atakayemtilia maanani.
 
Ajabu sana. Lakini tuna mainjinia maelfu Kwa mamia yanazagaa tu mtaani yamesomea huko huko china asee
Mainjinia wetu wengi walighushi vyeti kisha wakapewa kazi na mzee wa Msoga wakawa wanalipwa mshahara pasipo kufanya kazi yoyote....

Ujio wa jiwe uliharibu dili la waghushi vyeti.

Tizama kina Musukuma na Mwinjuma eti wana PhD pasipo kuhudhuria vipindi chuoni, hawa na wengineo (akiwemo maza wao) hawawezi kuifanya nchi isiwe ya kutembeza kibakuli maana ni wasomi feki.
 
Sisi hatutaki sasa hiyo misaada yao, hawa wabunge vipi? Kwani tutakaoumia si sisi?!! Hapa ndio ujue kwamba hiyo sio misaada, bali ni rushwa kwa ajili ya kuinfluence maslahi yao na kupromote agenda zao…

Mbunge anasema “ it was created for the American people..”, kwani hiyo misaada wanajipa wenyewe?
 
Wakuu,

Huko nchini Marekani, viongozi na baadhi ya wabunge wameandamana nje ya jengo la USAID wakitaka shirika hilo lirudishwe na misaada irudi haraka sana.

Jamii Raskin ambaye ni mbunge kutoka jimbo la Maryland aliongozana na wabunge wengine wakitaka shirika hilo LIRUDISHWE na Elon Musk asijihusishe na shughuli zozote za kiserikali.

"Elon Musk hukuitengeneza USAID, Marekani kupitia bunge ilifanya hivyo kwa ajili ya Wamarekani. Hana nguvu ya kuiharibu (USAID) na nani ataenda kumdhibiti (Elon)? Ni sisi hapa. Hatuna mhimili wa nne wa serikali unaoitwa Elon Musk"

===================

Elon Musk sio mbunge wala hajachaguliwa na wananchi wa Marekani kwanini Trump anampa mamlaka makubwa sana na hajachaguliwa wala kupitishwa na bunge?

Term hii ya trump madarakani ni ya mchaka mchaka kwa taifa la marekani, walimchagua Trump kwa mihemuko lakini hawakujua outcomes, sasa Trump ni mbaguzi wa wazi lakini cha kushangaza amempa rungu muhamiaji huyo huyo aiadhibu marekani Elon Musk
 
Back
Top Bottom