VIdeo: Wabunge wa Marekani waandamana hadi mbele ya jengo la USAID wakitaka misaada irudishwe haraka, wataka Elon adhibitiwe!

Wao ndio wanufaika yaani ni kama ukiwa unafukuzia demu ukampa vizawadi vya hapa na pale au misaada midogo midogo, yeye anakuwa anaona anafaidi ila mnufaika wa kweli anajulikana baada ya muda analiwa😃
 
Niliwaza hii ishu, kumbe tiari
Mashirika yote hata ya Wamarekani wenyewe kama fhi360, jhpiegho and the like wako home! Ila nimesikia kama wale wanaofadhiliwa na PEPFAR watarudi mzigo muda si mrefu!
 
Hao wabunge wa marekani kwa nini Wana tuonea huruma sisi wa Africa wakati sisi sio ndugu zao. Nasikia marekani matibabu gharama Sana kwa nini wasiandamane gharama za matibabu zipungue kwao.
 
Leftwingers hao, lazima waandamani
 
Mashirika yote hata ya Wamarekani wenyewe kama fhi360, jhpiegho and the like wako home! Ila nimesikia kama wale wanaofadhiliwa na PEPFAR watarudi mzigo muda si mrefu!
Atarii
Trump ameanza na fujo sana
 
USAID ina faida gani kwa wamarekani? Kwamba wanatuonea huruma sisi wa-Africa au ni vipi.
Trump ashikilie hapo hapo
In faida kubwa sana kwa USA inaeneza soft power,ushawishi, matakwa yao, brand ya USA kwamba ni taifa jema, lenye kuitakia mema dunia.

Pia inatumiwa na majasusi wao kwa mambo mengi.
 
Tayari zimeshafungwa, wafanyakazi wapo majumbani sasa
Wafanyakazi wale waliojiona miungu watu pale jhpiego na wenzake walikua nyanda za juu kusini na mdfp A hahaaa bora alienda kufanya kaz ya serikali chikola nurse hahaaa kama nawaona dah haya mashirika walijaaa kikabila na ki udini sisahau wakti na tafta kazi sijui vile vye diploma pale MDH haaaa walijiona wamefikaa kwa sabb wanagawa uroda kwa mabosi
 
Sijui wameruhusiwa na nani kuandamana, au huko hakuna FFU iwamwagie maji ya kuwasha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…