Vitu vyenyewe umeviona ?
Au umeenda ukakuta bidhaa zinazouzwa
Vibanio vya nywele, glass na chupa za maji ni kitu Cha kulalamika.
Wivu wa kikeWakuu,
Kuna hili duka la Wachina hapo Mikocheni pembeni ya Clouds linaitwa Citistore.
Hili duka ni la ajabu sana. Yaani kila kitu humo ndani kinauzwa 3000.
Yaani chochote, kuanzia accesories za wanawake, make ups na masuala ya urembo, stationeries na kila kitu humo ni 3000 tu. Ukipita hapo muda wote wanawake wanapanga foleni kwenda kununua bidhaa humo
Nimejiuliza sana. Wote tunajua kupata frame au eneo la biashara Mikocheni ni expensive sana. Wafanyabiashara wetu wengi wa kibongo wanapaepuka Mikocheni kwa sababu ni ghali sana kupata frame huko. Frame zetu nyingi Bongo ziko Mwenge na maeneo wanaoishi watu yaani residential areas kama huko Sinza, Ubungo na maeneo mengine
Inawezekanaje hawa Wachina, wachukue sio frame tu bali ni upande mmoja floor nzima in the heart of Mikocheni alafu wauze kila kitu 3,000. Wanapataje faida?
Hapo nimeongelea gharama za kodi ya eneo la biashara , sijazungumzia kulipa watu mishahara, kodi ya serikali, umeme na maintenance ya biashara. Wachina wanawezaje?
Wanapewa misaada ya kodi ya bandarini? Wanachukua vitu bure huko viwandani au ni mbinu gani inatumika mpaka wanaaanzisha store kubwa kama hii alafu wanauza chochote 3,000?
Mna uhakika hawa hawana plan ya ku-take over supply chain yetu yote? Huu sio mpango mkakati wa serikali ya China?
Uingereza wanaita £1 shop!Wakuu,

Hawa wana uwezo wa kufanya hivyo kwa sababu wanaleta kwa wingi na kule kwao wananunua viwandani au wengine ndiyo wenye viwanda. Mtanzania hawezi kushindana nao na baada ya miaka kadhaa wauza nguo na bidhaa kutoka China wengi watafunga maduka yao na kubaki maduka makubwa kama hayo. Usisahau pia wachina ni very corrupt hivyo sehemu kama bandarini ni lazima watakuwa wanahonga na kodi kuwa chini. Na kingine: bidhaa wanazouza ni za quality za chini na nyingine zina chemical zinazodhuru. Kwa mfano Ulaya kuna hizi zinazoitwa ''ultra fast fashion'' , nguo zinazotoka China na kuuzwa online kwa bei chini sana, wameanza kuzipiga marufuku au kuziwekea sheria kali.Nimewaza hivyo pia. Sema ndio wauze 3000
Mtanzania amuige mchina kwenye viwanda? Unaota wewe. Serikali kazi yake ni kupiga mnada kila kitu muda wa kupanga mikakati ni lini.Uingereza wanaita £1 shop!
Tuache kulalamika, tupige kazi, tuwaige, tutawaweza....
Ni hivi: Wachina watakuja kufanya nchi isitawalike. Unajua ni wengi hawaoni hili lakini madhara yatakuja kuwapata raia wote, wenye fedha, viongozi na mafukara. Hili jeshi la vijana wasio na kazi ambalo CCM inalijenga litakuja kuisambaratisha nchi.Tutakuja kumbuka shuka mchana
Si ndio hapo mkuu! Wachina waendelee kuwepo, kwa faida ya wanunuzi na siyo WALANGUZI!Safi sana wachina , wamatumbi wengi tumezoea kuwalangua mavitu ya hovyo wateja , kitu kidogo tu utasikia laki 3🚮