Video: Wachina wana mpango gani na nchi yetu? Kuna hii store Mikocheni wanauza kila kitu 3,000. What's going on?

Video: Wachina wana mpango gani na nchi yetu? Kuna hii store Mikocheni wanauza kila kitu 3,000. What's going on?

My point exactly. Japan ISHAENDELEA meaning tayari wananchi wake wana mitaji.

Sisi wafanyabiashara wetu mitaji hawana. Ukiruhusu WAGENI wafanye biashara kama hizi maana yake unaua wafanyabiashara wako wa ndani.

Hayo mastore yakiwa Marekani sijui Dubai ni sawa ila sio Tanzania.

Siku Wachina wakimiliki supermarkets na maduka yote nchi hii mtanielewa.

Kwani ukoloni ulianzaje?

nahizo nchi zilizoendelea hayo maduka yapo kw ajili ya walal hoi, lakini 90% ya raia huwezi kuwakuta humo. Huko kwetu 90% ya wazawa utaishia kuwakuta humo
 
Hawa wachina baada ya miaka kama mitano watakuwa washatupiga ni vitu vizito kikamilifu, wabongo endeleeni kuwashangiria kwa upeo wenu mdogo kama wa kuku. Jamaa wanakweda kukantroll kila kitu hapo ndipo tutakapokuja kuelewana, mtajua kaama mbaya ni winga au mchina
 
Back
Top Bottom