Video: Wachina wana mpango gani na nchi yetu? Kuna hii store Mikocheni wanauza kila kitu 3,000. What's going on?

Video: Wachina wana mpango gani na nchi yetu? Kuna hii store Mikocheni wanauza kila kitu 3,000. What's going on?

Nani kakwambia wanauza vibanio vya nywele tu humo ndani. Wanauza vitu vingi sana humo ambavyo value yake sio 3000

But still, haimake sense kuanzisha hiyo store Mikocheni.
Hii inaitwa..dumping, mmepigwa, hamjui tu.
 
Hivi kitu ambacho sijaelewa walalamikaji ni walanguzi au wanunuzi?
 
Hivi kitu ambacho sijaelewa walalamikaji ni walanguzi au wanunuzi?
Sio Walanguzi ni Vibaka na hao siku hizi wamejipa majina mapya Wanajiita Mawinga [man in the middle] ndio Wanufaika wa hizo mambo za Machimbo ndio wanaolalamikia kwamba kwanini mchina asiwauzie wao kwa 3000 huko Chobingo Mafichoni then Vibaka hao waje kutuambia kwamba mzigo wameutoa China na wanauuza kwa 30,000 kumbe kuna Mchina yupo hapo Mikocheni tu hapo ana mzigo wa kutosha na anauza 3000 tu kwa chochote unachotaka, nahisi hapo nimekujibu vizuri
 
Niliwahi kutaka kuuziwa eapods sh 70,000 tena na rafiki yangu kabisa kilichoniokoa ni kuzitest
Yan ziko full chargd 100% unaplay mzik mmoja wa dak 3 au 4 mziki unaisha na chaji muda huo huo inaisha inabidi uzirudishe earpods kwenye case yake ya kuchaji nilikimbia sikuangalia nyuma

Kiukweli acheni watu waende kwa mchina

Kuna bidhaa hata kama ni feki ila iendane na bei mfano earpod za kukaa na chaji dakika 5 ukaniuzia sh 3000 ni sawa ila sio uniuzie 70,000

Halafu kuna pesa nikijua umenipiga haina kelele kwa sababu najua nawe unatafuta riziki mfano bidhaa ya sh 10,000 ukaniuzia sh 12,000 hata nikijua haina kelele tutafanya biashara ila sasa bidhaa ya sh 10,000 uniuzie 50,000 na nikajua daaaah lazima nikuhame ĺoh
 
Taja hivyo vitu!
Mpaka Chupi gagulo kila kitu wewe nenda ukaone ni 3000, sio machinga wale kwamba ukifika kaweka makelele yake anaitisha elfu 5 elfu 5 ukifika pale anakwamba hapo mezani vyote vya mchina kila kimoja 5000 ila huku juu maelewano ukihama chini ukigusa juu anakupiga mara 3 au 4 ya pale chini Mbongo Nuksi, pale hata ukigusa tairi la gari ni 3000, sasa utachagua mwenyewe unataka nini
 
Wabongo tupige kazi
soma hiii huko mwanza
 
Mpaka Chupi gagulo kila kitu wewe nenda ukaone ni 3000, sio machinga wale kwamba ukifika kaweka makelele yake anaitisha elfu 5 elfu 5 ukifika pale anakwamba hapo mezani vyote vya mchina kila kimoja 5000 ila huku juu maelewano ukihama chini ukigusa juu anakupiga mara 3 au 4 ya pale chini Mbongo Nuksi, pale hata ukigusa tairi la gari ni 3000, sasa utachagua mwenyewe unataka nini
Mh? Mbona sijaona tairi la gari bwana weye?
 
Wakuu,

Kuna hili duka la Wachina hapo Mikocheni pembeni ya Clouds linaitwa Citistore.

Hili duka ni la ajabu sana. Yaani kila kitu humo ndani kinauzwa 3000.

Yaani chochote, kuanzia accesories za wanawake, make ups na masuala ya urembo, stationeries na kila kitu humo ni 3000 tu. Ukipita hapo muda wote wanawake wanapanga foleni kwenda kununua bidhaa humo

Nimejiuliza sana. Wote tunajua kupata frame au eneo la biashara Mikocheni ni expensive sana. Wafanyabiashara wetu wengi wa kibongo wanapaepuka Mikocheni kwa sababu ni ghali sana kupata frame huko. Frame zetu nyingi Bongo ziko Mwenge na maeneo wanaoishi watu yaani residential areas kama huko Sinza, Ubungo na maeneo mengine

Inawezekanaje hawa Wachina, wachukue sio frame tu bali ni upande mmoja floor nzima in the heart of Mikocheni alafu wauze kila kitu 3,000. Wanapataje faida?

Hapo nimeongelea gharama za kodi ya eneo la biashara , sijazungumzia kulipa watu mishahara, kodi ya serikali, umeme na maintenance ya biashara. Wachina wanawezaje?

Wanapewa misaada ya kodi ya bandarini? Wanachukua vitu bure huko viwandani au ni mbinu gani inatumika mpaka wanaaanzisha store kubwa kama hii alafu wanauza chochote 3,000?

Mna uhakika hawa hawana plan ya ku-take over supply chain yetu yote? Huu sio mpango mkakati wa serikali ya China?


Watanzania tuwe na kasumba ya kufanya tafiti ili kujifunza wenzetu wanawezaje! Maharage kilo moja tu ni shilingi 3500! sisi wenyewe tunayolima hapa tumeshindwa kumuuzia mzawa kwa bei pendwa hivyo vya wenzetu si tutauziana hata 10000tsh!!???
Kuna elimu inahitajika hapa!
 
Hii inaitwa..dumping, mmepigwa, hamjui tu.
Nataka Wachina walete maduka yao hapa hapa bidhaa zikiwa hapa zikauzwa na Wachina wenyewe zitauzwa kwa gharama ndogo sana tofauti na ilivyo sasa
 
Kwani serikali na wataalaamu wake inasemaje? Tuanzie hapo kwanza. Kama imekaa kimya basi kila kitu kipo sawa tuendelee kufulahia afutatu zetu bila wasiwas. Na kama Kuna shida mahali Wala msijali sisi wote tutakuwa marehem wataonathirika ni wajukuu zetu. Hao wajukuu zetu na wenyewe watatafuta mbinu za kupambana na hali zao.
 
Wakuu,

Kuna hili duka la Wachina hapo Mikocheni pembeni ya Clouds linaitwa Citistore.

Hili duka ni la ajabu sana. Yaani kila kitu humo ndani kinauzwa 3000.

Yaani chochote, kuanzia accesories za wanawake, make ups na masuala ya urembo, stationeries na kila kitu humo ni 3000 tu. Ukipita hapo muda wote wanawake wanapanga foleni kwenda kununua bidhaa humo

Nimejiuliza sana. Wote tunajua kupata frame au eneo la biashara Mikocheni ni expensive sana. Wafanyabiashara wetu wengi wa kibongo wanapaepuka Mikocheni kwa sababu ni ghali sana kupata frame huko. Frame zetu nyingi Bongo ziko Mwenge na maeneo wanaoishi watu yaani residential areas kama huko Sinza, Ubungo na maeneo mengine

Inawezekanaje hawa Wachina, wachukue sio frame tu bali ni upande mmoja floor nzima in the heart of Mikocheni alafu wauze kila kitu 3,000. Wanapataje faida?

Hapo nimeongelea gharama za kodi ya eneo la biashara , sijazungumzia kulipa watu mishahara, kodi ya serikali, umeme na maintenance ya biashara. Wachina wanawezaje?

Wanapewa misaada ya kodi ya bandarini? Wanachukua vitu bure huko viwandani au ni mbinu gani inatumika mpaka wanaaanzisha store kubwa kama hii alafu wanauza chochote 3,000?

Mna uhakika hawa hawana plan ya ku-take over supply chain yetu yote? Huu sio mpango mkakati wa serikali ya China?


Waafrika wana matatizo ya kiakili sana, kwa kweli tunasikitisha mno na ndiyo maana inakuwa rahisi kwa watu kutuchezea. usikute bidhaa zote humu zime expire toka huko kwao wanakuja kutuletea sie Waafrika kansa tu na tunaikimbilia ili tujiue fasta. Hakuna mfanya biashara afanyaye biashara ili apate hasara, kuna kitu hapa.
 
Mfumo huu wa biashara inaitwa DOLLAR STORE yaani takriban Shs 3000 na yapo nchi nyingi duniani. Wanapata faida kutokana na uwingi wa vitu wanavyouza ambazo ni vitu vidogo vidogo
 
Nimeona baadhi ya bidhaa hapo mtaani zinaweza kuwa chini ya elfu tatu, Mchina hana baya ila ana akili mingi mingi
 
Back
Top Bottom