Video: Wachina wana mpango gani na nchi yetu? Kuna hii store Mikocheni wanauza kila kitu 3,000. What's going on?

Mchina kashika sehemu mbaya sana siku hizi, ukitaka kushindana na mchina ni suala la kuweka na kufuatilia strictly mipaka ya sheria zako na si kusema Kwa mdomo na blah blah, mchina ni kama Panya ukimruhusu shambani bila kumuwekea mipaka anakula Kila kitu Hadi udongo.
 
Nahisi ni sawa na mkulima wa mpunga mbarali akafanya biashara ya mama ntilie mwenge.
Huwezi kucompete naye, hata akiuza sahani ya ubwabwa 1000 bado atapata faida kidogo tena atakuwa anauza nyingi kwa muda mfupi.
Naungana na wewe katika hili
 
Ukienda China hizo glass na
Wakuu,

Kuna hili duka la Wachina hapo Mikocheni pembeni ya Clouds linaitwa Citistore.

Hili duka ni la ajabu sana. Yaani kila kitu humo ndani kinauzwa 3000.

Yaani chochote, kuanzia accesories za wanawake, make ups na masuala ya urembo, stationeries na kila kitu humo ni 3000 tu. Ukipita hapo muda wote wanawake wanapanga foleni kwenda kununua bidhaa humo

Nimejiuliza sana. Wote tunajua kupata frame au eneo la biashara Mikocheni ni expensive sana. Wafanyabiashara wetu wengi wa kibongo wanapaepuka Mikocheni kwa sababu ni ghali sana kupata frame huko. Frame zetu nyingi Bongo ziko Mwenge na maeneo wanaoishi watu yaani residential areas kama huko Sinza, Ubungo na maeneo mengine

Inawezekanaje hawa Wachina, wachukue sio frame tu bali ni upande mmoja floor nzima in the heart of Mikocheni alafu wauze kila kitu 3,000. Wanapataje faida?

Hapo nimeongelea gharama za kodi ya eneo la biashara , sijazungumzia kulipa watu mishahara, kodi ya serikali, umeme na maintenance ya biashara. Wachina wanawezaje?

Wanapewa misaada ya kodi ya bandarini? Wanachukua vitu bure huko viwandani au ni mbinu gani inatumika mpaka wanaaanzisha store kubwa kama hii alafu wanauza chochote 3,000?

Mna uhakika hawa hawana plan ya ku-take over supply chain yetu yote? Huu sio mpango mkakati wa serikali ya China?

Ukienda China hizo glass hazizidi shs. 300/=
 
Nadhani pengine hata hujatoka nje ya Tanzania na mbaya zaidi hujui tunachozungumzia. Nani kasema wachina wako China tu? Niliwa Europe, nimekula sana kwenye migahawa ya kichina na katu sitasema wachina wafukuzwe au wasiruhusiwe kuja Bongo. ''Wanakuja kufanya nini'' na hawa watawala walioshindwa kila kitu wamejiandaa vipi kwa ukio wao, hilo ndilo jambo muhimu
Brazil kwenyewe wamejaa top
Na maisha yanaendelea!
Hawa wako kila konaa duniani
Mleta uzi aache kulialiaa apambane nao tu

Ova
 
Majibu yamepatikana ila kwa kuongezea kama hujasoma ni hivi, vibanio vya nguo ambavyo kule China (kiwandani) let say ni shs 650 hadi kufika bongoland ni shs 950 plus kuikuta kwenye shelf 50 jumla ni 1000/-.

Haya hapo anaweka 3000/- faida ni 2000, je anauza pc ngapi kwa siku x week x mwezi x mwaka=?.

Hapo no vibanio hujaweka takataka nyingine.

Kumbuka serikali ya China inamuwezesha raia wake anayekwenda kuwekeza nje ya China ili kukuza uzalishaji wao wa ndani na kurudisha pesa yote kupitia china bank zilizozagaa nchini!.

Endelea kunywa mtoli ...!.
CCM Oyeeeeeee...!
 
Nimeona hapo kuna hanger zinauzwa 2000 Kariakoo. Usiejua unaweza kudhani bei ya vitu vyao ipo chini kumbe vingine ni aghali.
Hapo vingine kweli bei rahisi.
Wana balance faida kwenye vingine.
Vitu vyenyewe umeviona ?
Au umeenda ukakuta bidhaa zinazouzwa
Vibanio vya nywele, glass na chupa za maji ni kitu Cha kulalamika.
 
Wakuu,

Kuna hili duka la Wachina hapo Mikocheni pembeni ya Clouds linaitwa Citistore.

Hili duka ni la ajabu sana. Yaani kila kitu humo ndani kinauzwa 3000.

Yaani chochote, kuanzia accesories za wanawake, make ups na masuala ya urembo, stationeries na kila kitu humo ni 3000 tu. Ukipita hapo muda wote wanawake wanapanga foleni kwenda kununua bidhaa humo

Nimejiuliza sana. Wote tunajua kupata frame au eneo la biashara Mikocheni ni expensive sana. Wafanyabiashara wetu wengi wa kibongo wanapaepuka Mikocheni kwa sababu ni ghali sana kupata frame huko. Frame zetu nyingi Bongo ziko Mwenge na maeneo wanaoishi watu yaani residential areas kama huko Sinza, Ubungo na maeneo mengine

Inawezekanaje hawa Wachina, wachukue sio frame tu bali ni upande mmoja floor nzima in the heart of Mikocheni alafu wauze kila kitu 3,000. Wanapataje faida?

Hapo nimeongelea gharama za kodi ya eneo la biashara , sijazungumzia kulipa watu mishahara, kodi ya serikali, umeme na maintenance ya biashara. Wachina wanawezaje?

Wanapewa misaada ya kodi ya bandarini? Wanachukua vitu bure huko viwandani au ni mbinu gani inatumika mpaka wanaaanzisha store kubwa kama hii alafu wanauza chochote 3,000?

Mna uhakika hawa hawana plan ya ku-take over supply chain yetu yote? Huu sio mpango mkakati wa serikali ya China?

Mbona hakuna bidhaa ya maana Bali yamejaa makorokocho ambayo ukiyanunua baada ya siku mbili yanageuka uchafu nyumbani?
 
Mtoa mada wewe ni mjinga.

Ungekuwa na akili ungefanya research kwanza. Hivyo vitu wanavyoviuza 3000 wanavitoa wapi ?

Halafu ungepeleleza gharama zake za uzalishaji ni shilingi ngapi.

Hapo ndipo ungejua kama hao wachina wanapata hasara kupanga huko mikocheni na kuuza 3000 ama wanapata faida.

Tambua Kama hivyo vitu wanavyouza ni made in china. Ujue wanapata faida kubwa sana. Wanavuna pesa zetu

Umeongea kwa confidence sana nikadhani unakuja na nondo hapo chini, kumbe mashudu matupu.

Yaani umekubaliana na nilichoandika ila umeamua tu kubisha ili uonekane una akili.

Soma tena nilichoandika!
 
Kuna wajapani nao masaki huko walianza na kila kitu elf6 labda wanawavuta wabongo
 
Kwa elezea makosa (kama ni uhamiaji au kutokulipa kodi) na sio kutoa huduma kwa wananchi ambao serikali na taasisi zao zimeshindwa hivyo angalau kuweza kupata huduma na kubakia na chenji...

Hivi unajua kuna maduka hata huko nje yanatiwa Poundland ? Yaani kila kitu pound moja moja..., au kuna all you can eat buffet ya pound tano au less...; Ukitaka kujua business models zao wanapataje faida takwambia...,; Au unaonaje tungewashukia na WhatsApp kutoka huduma ya calls na mengineyo bure hivyo kuwanyima faranga kina TTCL...

Kwamba kuuza mitumba ni huduma ambazo serikali na taasisi zimeshindwa kutoa?

Kabla ya hao Wachina kuja Watanzania tulikuwa tunatembea bila nguo na wanawake walikuwa hawavai urembo?

Ni huduma zipi kati ya ZINAZOLALAMIKIWA ambazo wachina wanatoa sisi tunashindwa kuzitoa?

Unaweka mamifano ya Whatsap sijui telecommunications mifano tofauti kabisa.

Wachina wanamiliki Startimes, Tekno, Infinix etc lini umesikia wabongo wanalalamika? Kinacholalamikiwa hapa ni Wachina kufanya kazi za Uchuuzi.
 
Lack of exposure. Maduka hayo yapo kila mahali; na bidhaa zinazowekwa humo zinaendana na bei husika. Unaweza kuta pia bidhaa ghali kidogo lakini zitakuwa zimekaribia kumaliza muda wake na au zipo kwenye promosheni maalum. Usishangae pia kukuta bidhaa chache sana zinauzwa bei ghali kidogo na iliyopangwa. Ni jambo la kawaida sana!

View attachment 3304037

View attachment 3304038

Wewe mwenye exposure unashindwa kujua kuwa Bongo ni "developing" country and the moment unaruhusu a foreign nation kuanza kufanya Predatory Price kama hii maana yake unaenda kumaliza wafanyabiashara wako wote nchini maana hawana mitaji.

Unatoa Mamifano ya nchi za nje kama Marekani ambako tayari Wamarekani wenyewe wana mitaji. Hao wachina wakienda sio threat maana mitaji inashikiliwa na Wamarekani

Nilitaka kukuuliza una akili timamu kama ulivyoniambia kwamba sina exposure nikakumbuka sina mwanasheria.

Kama wanawapenda sana hao wachina kwanini WASIJENGE VIWANDA?
 
We shida yako nini, watu wanataka unafuu wa maisha we unashangaa? Hao ni wakombozi wa watanzania

Acha ujinga dogo.

Yaani unadhani Wachina wako hapa kuja kukurahisishia wewe maisha?

Kwanini hawataki kuanzisha VIWANDA kama wanawapendeni kweli.

Watu weusi ndo maana mlitawaliwa. Mnapenda mambo laini laini sana!

Eti ni "wakombozi"

Hahahaha!
 
Wakuu,

Kuna hili duka la Wachina hapo Mikocheni pembeni ya Clouds linaitwa Citistore.

Hili duka ni la ajabu sana. Yaani kila kitu humo ndani kinauzwa 3000.

Yaani chochote, kuanzia accesories za wanawake, make ups na masuala ya urembo, stationeries na kila kitu humo ni 3000 tu. Ukipita hapo muda wote wanawake wanapanga foleni kwenda kununua bidhaa humo

Nimejiuliza sana. Wote tunajua kupata frame au eneo la biashara Mikocheni ni expensive sana. Wafanyabiashara wetu wengi wa kibongo wanapaepuka Mikocheni kwa sababu ni ghali sana kupata frame huko. Frame zetu nyingi Bongo ziko Mwenge na maeneo wanaoishi watu yaani residential areas kama huko Sinza, Ubungo na maeneo mengine

Inawezekanaje hawa Wachina, wachukue sio frame tu bali ni upande mmoja floor nzima in the heart of Mikocheni alafu wauze kila kitu 3,000. Wanapataje faida?

Hapo nimeongelea gharama za kodi ya eneo la biashara , sijazungumzia kulipa watu mishahara, kodi ya serikali, umeme na maintenance ya biashara. Wachina wanawezaje?

Wanapewa misaada ya kodi ya bandarini? Wanachukua vitu bure huko viwandani au ni mbinu gani inatumika mpaka wanaaanzisha store kubwa kama hii alafu wanauza chochote 3,000?

Mna uhakika hawa hawana plan ya ku-take over supply chain yetu yote? Huu sio mpango mkakati wa serikali ya China?

Msiwanyanyase wawekezaji
 
Back
Top Bottom