Video: Wachina wana mpango gani na nchi yetu? Kuna hii store Mikocheni wanauza kila kitu 3,000. What's going on?

Wakuu,

Kuna hili duka la Wachina hapo Mikocheni pembeni ya Clouds linaitwa Citistore.

Hili duka ni la ajabu sana. Yaani kila kitu humo ndani kinauzwa 3000.

Yaani chochote, kuanzia accesories za wanawake, make ups na masuala ya urembo, stationeries na kila kitu humo ni 3000 tu. Ukipita hapo muda wote wanawake wanapanga foleni kwenda kununua bidhaa humo

Nimejiuliza sana. Wote tunajua kupata frame au eneo la biashara Mikocheni ni expensive sana. Wafanyabiashara wetu wengi wa kibongo wanapaepuka Mikocheni kwa sababu ni ghali sana kupata frame huko. Frame zetu nyingi Bongo ziko Mwenge na maeneo wanaoishi watu yaani residential areas kama huko Sinza, Ubungo na maeneo mengine

Inawezekanaje hawa Wachina, wachukue sio frame tu bali ni upande mmoja floor nzima in the heart of Mikocheni alafu wauze kila kitu 3,000. Wanapataje faida?

Hapo nimeongelea gharama za kodi ya eneo la biashara , sijazungumzia kulipa watu mishahara, kodi ya serikali, umeme na maintenance ya biashara. Wachina wanawezaje?

Wanapewa misaada ya kodi ya bandarini? Wanachukua vitu bure huko viwandani au ni mbinu gani inatumika mpaka wanaaanzisha store kubwa kama hii alafu wanauza chochote 3,000?

Mna uhakika hawa hawana plan ya ku-take over supply chain yetu yote? Huu sio mpango mkakati wa serikali ya China?

Maana yake wanauza vitu vingi, hata kama faida ni shilingi hamsini kwa kila bidhaa
 
Nahisi ni sawa na mkulima wa mpunga mbarali akafanya biashara ya mama ntilie mwenge.
Huwezi kucompete naye, hata akiuza sahani ya ubwabwa 1000 bado atapata faida kidogo tena atakuwa anauza nyingi kwa muda mfupi.
Safi hiyo mkuu, wengi awaelewi mchina anazalisha bidhaa mwenyewe kwaiyo ndio maana bei anashusha kinoma na wabongo wanaopendaga mafaida makubwa watawakoma wachina🤸
 
Wakuu,

Kuna hili duka la Wachina hapo Mikocheni pembeni ya Clouds linaitwa Citistore.

Hili duka ni la ajabu sana. Yaani kila kitu humo ndani kinauzwa 3000.

Yaani chochote, kuanzia accesories za wanawake, make ups na masuala ya urembo, stationeries na kila kitu humo ni 3000 tu. Ukipita hapo muda wote wanawake wanapanga foleni kwenda kununua bidhaa humo

Nimejiuliza sana. Wote tunajua kupata frame au eneo la biashara Mikocheni ni expensive sana. Wafanyabiashara wetu wengi wa kibongo wanapaepuka Mikocheni kwa sababu ni ghali sana kupata frame huko. Frame zetu nyingi Bongo ziko Mwenge na maeneo wanaoishi watu yaani residential areas kama huko Sinza, Ubungo na maeneo mengine

Inawezekanaje hawa Wachina, wachukue sio frame tu bali ni upande mmoja floor nzima in the heart of Mikocheni alafu wauze kila kitu 3,000. Wanapataje faida?

Hapo nimeongelea gharama za kodi ya eneo la biashara , sijazungumzia kulipa watu mishahara, kodi ya serikali, umeme na maintenance ya biashara. Wachina wanawezaje?

Wanapewa misaada ya kodi ya bandarini? Wanachukua vitu bure huko viwandani au ni mbinu gani inatumika mpaka wanaaanzisha store kubwa kama hii alafu wanauza chochote 3,000?

Mna uhakika hawa hawana plan ya ku-take over supply chain yetu yote? Huu sio mpango mkakati wa serikali ya China?

Umewasaidia kutangaza biashara. Mimi nilikuwa sijawasikia.
Kuna chupa za chai nimeiona huku zinauzwa elfu 18. Fursa kwa wamachinga
 
Nani kakwambia wanauza vibanio vya nywele tu humo ndani. Wanauza vitu vingi sana humo ambavyo value yake sio 3000

But still, haimake sense kuanzisha hiyo store Mikocheni.
Wewe ungetusaidia Kwa kututajia vitu mbalimbali wanavyouza humo tukanunue, maswala ya sijui wana mpango gani, Wana mkakakti gani, wanatoa wapi vitu, wanalipa ama hawalipi kodi hiyo haituhusu na hatuna haja wala sababu ya kujua! Huwezi kuwa na uchungu na nchi ambayo wenye mamlaka wamechuuza kila aina ya rasilimali na kufisadi nchi imebaki makombo tupu, leo uje kuhangaika na elfu 3 ya mchina...ambae pia watawala wako hao hao wamemruhusu afanye anachokitaka kwenye nchi Yako!
 
Nahisi ni sawa na mkulima wa mpunga mbarali akafanya biashara ya mama ntilie mwenge.
Huwezi kucompete naye, hata akiuza sahani ya ubwabwa 1000 bado atapata faida kidogo tena atakuwa anauza nyingi kwa muda mfupi.
Wale mabepari wenye mitaji mikubwa waliwalimaliza mabepari wadogo.
Hii ni dunia ya survive for fittest, ukiwa na mabavu utasaivu mbona.
Mwanza huduma akianza kuuza sementi kwa rejareja watu watalia mbona ,
 
H
hawana plan ya ku-take over supply chain yetu yote? Huu sio mpango mkakati wa serikali ya
Hii akili itumie kwa Maisha yako na familia yako na kama uko poa waza na Koo yako, wanache wachina Kuna uhuru utakuja kutafutwa huko na vizazi vyetu dhidi ya mkoloni mweusi mwenzako.
Baadaye Africa itakuwa like USA or Europe.
Subiria sasa wale kwa urefu wa kAmba zao.
Unajua kuwa Kuna mtu mmoja alikuwa anaagiza vitenge kuja Tanzania Sasa wengine wakiagiza ushuru mkubwa kinyama so anabakia mtu mmoja ku supply so anauza Kama anavyojisikia na kiburi juu kisa ana ndugu yake mkubwa
 
Wakuu,

Kuna hili duka la Wachina hapo Mikocheni pembeni ya Clouds linaitwa Citistore.

Hili duka ni la ajabu sana. Yaani kila kitu humo ndani kinauzwa 3000.

Yaani chochote, kuanzia accesories za wanawake, make ups na masuala ya urembo, stationeries na kila kitu humo ni 3000 tu. Ukipita hapo muda wote wanawake wanapanga foleni kwenda kununua bidhaa humo

Nimejiuliza sana. Wote tunajua kupata frame au eneo la biashara Mikocheni ni expensive sana. Wafanyabiashara wetu wengi wa kibongo wanapaepuka Mikocheni kwa sababu ni ghali sana kupata frame huko. Frame zetu nyingi Bongo ziko Mwenge na maeneo wanaoishi watu yaani residential areas kama huko Sinza, Ubungo na maeneo mengine

Inawezekanaje hawa Wachina, wachukue sio frame tu bali ni upande mmoja floor nzima in the heart of Mikocheni alafu wauze kila kitu 3,000. Wanapataje faida?

Hapo nimeongelea gharama za kodi ya eneo la biashara , sijazungumzia kulipa watu mishahara, kodi ya serikali, umeme na maintenance ya biashara. Wachina wanawezaje?

Wanapewa misaada ya kodi ya bandarini? Wanachukua vitu bure huko viwandani au ni mbinu gani inatumika mpaka wanaaanzisha store kubwa kama hii alafu wanauza chochote 3,000?

Mna uhakika hawa hawana plan ya ku-take over supply chain yetu yote? Huu sio mpango mkakati wa serikali ya China?

Unajifananisha na USA teyari.. aya sawa tutawawekea vikwazo.
 
Back
Top Bottom