Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Usiwaze Tajiri nipo. Nitakupeleka tukajumue.aya mmoja ajitokeze akaninunulie makeup ya afu 3 hapo kwa wachina tafadhari😁😁

Kwani umejua ni bidhaa gani..!?Nimewaza hivyo pia. Sema ndio wauze 3000
Unalewa maana ya nchi kupigwa mnada!?Serikali inawakumbatia sana hawa kenge
Quality of the commodity gears for the priceWakuu,
Kuna hili duka la Wachina hapo Mikocheni pembeni ya Clouds linaitwa Citistore.
Hili duka ni la ajabu sana. Yaani kila kitu humo ndani kinauzwa 3000.
Yaani chochote, kuanzia accesories za wanawake, make ups na masuala ya urembo, stationeries na kila kitu humo ni 3000 tu. Ukipita hapo muda wote wanawake wanapanga foleni kwenda kununua bidhaa humo
Nimejiuliza sana. Wote tunajua kupata frame au eneo la biashara Mikocheni ni expensive sana. Wafanyabiashara wetu wengi wa kibongo wanapaepuka Mikocheni kwa sababu ni ghali sana kupata frame huko. Frame zetu nyingi Bongo ziko Mwenge na maeneo wanaoishi watu yaani residential areas kama huko Sinza, Ubungo na maeneo mengine
Inawezekanaje hawa Wachina, wachukue sio frame tu bali ni upande mmoja floor nzima in the heart of Mikocheni alafu wauze kila kitu 3,000. Wanapataje faida?
Hapo nimeongelea gharama za kodi ya eneo la biashara , sijazungumzia kulipa watu mishahara, kodi ya serikali, umeme na maintenance ya biashara. Wachina wanawezaje?
Wanapewa misaada ya kodi ya bandarini? Wanachukua vitu bure huko viwandani au ni mbinu gani inatumika mpaka wanaaanzisha store kubwa kama hii alafu wanauza chochote 3,000?
Mna uhakika hawa hawana plan ya ku-take over supply chain yetu yote? Huu sio mpango mkakati wa serikali ya China?
Udalali juu ya udalali..Safi sana wachina , wamatumbi wengi tumezoea kuwalangua mavitu ya hovyo wateja , kitu kidogo tu utasikia laki 3🚮
Nijambo laWakuu,
Kuna hili duka la Wachina hapo Mikocheni pembeni ya Clouds linaitwa Citistore.
Hili duka ni la ajabu sana. Yaani kila kitu humo ndani kinauzwa 3000.
Yaani chochote, kuanzia accesories za wanawake, make ups na masuala ya urembo, stationeries na kila kitu humo ni 3000 tu. Ukipita hapo muda wote wanawake wanapanga foleni kwenda kununua bidhaa humo
Nimejiuliza sana. Wote tunajua kupata frame au eneo la biashara Mikocheni ni expensive sana. Wafanyabiashara wetu wengi wa kibongo wanapaepuka Mikocheni kwa sababu ni ghali sana kupata frame huko. Frame zetu nyingi Bongo ziko Mwenge na maeneo wanaoishi watu yaani residential areas kama huko Sinza, Ubungo na maeneo mengine
Inawezekanaje hawa Wachina, wachukue sio frame tu bali ni upande mmoja floor nzima in the heart of Mikocheni alafu wauze kila kitu 3,000. Wanapataje faida?
Hapo nimeongelea gharama za kodi ya eneo la biashara , sijazungumzia kulipa watu mishahara, kodi ya serikali, umeme na maintenance ya biashara. Wachina wanawezaje?
Wanapewa misaada ya kodi ya bandarini? Wanachukua vitu bure huko viwandani au ni mbinu gani inatumika mpaka wanaaanzisha store kubwa kama hii alafu wanauza chochote 3,000?
Mna uhakika hawa hawana plan ya ku-take over supply chain yetu yote? Huu sio mpango mkakati wa serikali ya China?
Nijambo la kawaida duniani huko,mfano uingereza kuna maduka kama POUNDLAND na Poundstretcher hump ndani Kila kitu ni paundi Moja ispokuwa vichache Sana,lkn quality yeke ndo Ile yakwantogole,Wakuu,
Kuna hili duka la Wachina hapo Mikocheni pembeni ya Clouds linaitwa Citistore.
Hili duka ni la ajabu sana. Yaani kila kitu humo ndani kinauzwa 3000.
Yaani chochote, kuanzia accesories za wanawake, make ups na masuala ya urembo, stationeries na kila kitu humo ni 3000 tu. Ukipita hapo muda wote wanawake wanapanga foleni kwenda kununua bidhaa humo
Nimejiuliza sana. Wote tunajua kupata frame au eneo la biashara Mikocheni ni expensive sana. Wafanyabiashara wetu wengi wa kibongo wanapaepuka Mikocheni kwa sababu ni ghali sana kupata frame huko. Frame zetu nyingi Bongo ziko Mwenge na maeneo wanaoishi watu yaani residential areas kama huko Sinza, Ubungo na maeneo mengine
Inawezekanaje hawa Wachina, wachukue sio frame tu bali ni upande mmoja floor nzima in the heart of Mikocheni alafu wauze kila kitu 3,000. Wanapataje faida?
Hapo nimeongelea gharama za kodi ya eneo la biashara , sijazungumzia kulipa watu mishahara, kodi ya serikali, umeme na maintenance ya biashara. Wachina wanawezaje?
Wanapewa misaada ya kodi ya bandarini? Wanachukua vitu bure huko viwandani au ni mbinu gani inatumika mpaka wanaaanzisha store kubwa kama hii alafu wanauza chochote 3,000?
Mna uhakika hawa hawana plan ya ku-take over supply chain yetu yote? Huu sio mpango mkakati wa serikali ya China?
Vitu gan hivyo ambavyo havimake sense vitajeNani kakwambia wanauza vibanio vya nywele tu humo ndani. Wanauza vitu vingi sana humo ambavyo value yake sio 3000
But still, haimake sense kuanzisha hiyo store Mikocheni.
We shida yako nini, watu wanataka unafuu wa maisha we unashangaa? Hao ni wakombozi wa watanzaniaWakuu,
Kuna hili duka la Wachina hapo Mikocheni pembeni ya Clouds linaitwa Citistore.
Hili duka ni la ajabu sana. Yaani kila kitu humo ndani kinauzwa 3000.
Yaani chochote, kuanzia accesories za wanawake, make ups na masuala ya urembo, stationeries na kila kitu humo ni 3000 tu. Ukipita hapo muda wote wanawake wanapanga foleni kwenda kununua bidhaa humo
Nimejiuliza sana. Wote tunajua kupata frame au eneo la biashara Mikocheni ni expensive sana. Wafanyabiashara wetu wengi wa kibongo wanapaepuka Mikocheni kwa sababu ni ghali sana kupata frame huko. Frame zetu nyingi Bongo ziko Mwenge na maeneo wanaoishi watu yaani residential areas kama huko Sinza, Ubungo na maeneo mengine
Inawezekanaje hawa Wachina, wachukue sio frame tu bali ni upande mmoja floor nzima in the heart of Mikocheni alafu wauze kila kitu 3,000. Wanapataje faida?
Hapo nimeongelea gharama za kodi ya eneo la biashara , sijazungumzia kulipa watu mishahara, kodi ya serikali, umeme na maintenance ya biashara. Wachina wanawezaje?
Wanapewa misaada ya kodi ya bandarini? Wanachukua vitu bure huko viwandani au ni mbinu gani inatumika mpaka wanaaanzisha store kubwa kama hii alafu wanauza chochote 3,000?
Mna uhakika hawa hawana plan ya ku-take over supply chain yetu yote? Huu sio mpango mkakati wa serikali ya China?
Hamna lolote wachina wako dunia nzimaNi hivi: Wachina watakuja kufanya nchi isitawalike. Unajua ni wengi hawaoni hili lakini madhara yatakuja kuwapata raia wote, wenye fedha, viongozi na mafukara. Hili jeshi la vijana wasio na kazi ambalo CCM inalijenga litakuja kuisambaratisha nchi.
Havina quality kwanza ni midoshoNimewaza hivyo pia. Sema ndio wauze 3000
Ubaruku hoyeeeeeeee🤣🤣🤣🤣🤣Nahisi ni sawa na mkulima wa mpunga mbarali akafanya biashara ya mama ntilie mwenge.
Huwezi kucompete naye, hata akiuza sahani ya ubwabwa 1000 bado atapata faida kidogo tena atakuwa anauza nyingi kwa muda mfupi.
Nadhani pengine hata hujatoka nje ya Tanzania na mbaya zaidi hujui tunachozungumzia. Nani kasema wachina wako China tu? Niliwa Europe, nimekula sana kwenye migahawa ya kichina na katu sitasema wachina wafukuzwe au wasiruhusiwe kuja Bongo. ''Wanakuja kufanya nini'' na hawa watawala walioshindwa kila kitu wamejiandaa vipi kwa ukio wao, hilo ndilo jambo muhimuHamna lolote wachina wako dunia nzima