Video: wajumbe wote wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA wayasikie haya

Wajinga kama hawa ndio wanashinda bar wanakunywa konyagi siku ya kupiga kura...

CDM haiogopeki na watawala, CDM ni chama cha siasa sio kikundi cha waasi..
Hii lafudhi ni ya kitanzania kweli? Au kule kwenye M23
Hujitambui we mdada, rudi kwa mumeo tu
 
Nimechukua point moja
"... utafikiri ni mwenge, mwenge ni tambiko linaharibu akili za watu..."
 
===
Haya maneno ya huyu kijana natamani wajumbe wote wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA wayasikie hata kama hawana smartphone wapelekeeni wasikilize.

View attachment 3204030
Huyu jamaa hapaswi kuwa raia wa kawaida angetakiwa kuwa Mbunge au Kiongozi muhimu katika Taifa. Ila bahati mbaya Tanzania inawapenda wajinga wajinga wanaosifu na kulamba viatu.
 
Ama kweli huyu jamaa kamwaga mapointi mpk yametapakaa. Apewe Jimbo huyu.

Mbowe must go!
Huyu bwana ni nani na anapatikana wapi , huyu atatufaa sana kwenye kazi anajua kuongea kwa kiwango chajuu sana ,kila memo linalo mtoka limebeba ujumbe mzito sana
 
Hajielewi kabisa upinzani wa kisiasa ni kuyofautiana sera sio kununiana kutoshirikiana mambo ya kijamii kama kuchangiana

Hayo anayoongea hata huko ulaya na marekani vyama vya upinzani vilikoanzia hayapo

Unakuta Trum p.na Biden wanacheka majukwaani tu ndipo wanatofautiana sera

Sasa huyo kichwa maji ambaye kichwani hazimo kwa uelewa wake upinzani wa kisiasa ni kitu cha mapambano ya kimwili hakuna kuchekeana hata nje ya siasa wala kushirikiana maswala ya kijamii

Mjinga tena aliyepitiliza

Mjumbe atakayemtilia maanani na yeye kichwani zitakuwa hazimo na hajui kabisa maana ya upinzani ni nini

Lisu pia kichwa chake kiko kama cha huyo huyo
 
Umekunywa mkojo wako kama breakfast leo
 
Tofautisha ulaya,marekani na hizi nchi zetu za uswekeni usijitoe ufahamu. Unashirikiana Nini na mtu anae kukandamiza na kukunyanyasa Kila siku? Unashirikiana Nini na watu wanaokupora uchaguzi Kila mwaka? That's why tunasema mbowe kashakuwa kirusi maana kwa mazingira ya sasa CCM inachokifanya ktk nchi hii hawakupaswa kuwa na mshirika hata mmoja, walipaswa kutengwa.
 
Jamaa lina point, na huu ndio mzizi wa Mbowe kuganda madaraka. Anapata support toka kwa Rais
 
Back
Top Bottom