kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Mleta mada akili hana heri Mbowe alichangiwa pesa kwa ajili ya kanisa hazikuingia mfukoni mwake
Tofauti na Lisu aliyechangiwa milioni tano na CCM zikaingia mfukoni mwake ikwa ajili ya gari yake na alizipokea
Kwa hiyo Lisu kuchangiwa na CCM maana yake ni kuwa yuko na CCM?
View: https://youtu.be/jOuZZdCd8aY?si=CS6vBVEwa4QeuE4s
Tumia akili