Tumia akiliMleta mada akili hana heri Mbowe alichangiwa pesa kwa ajili ya kanisa hazikuingia mfukoni mwake
Tofauti na Lisu aliyechangiwa milioni tano na CCM zikaingia mfukoni mwake ikwa ajili ya gari yake na alizipokea
Kwa hiyo Lisu kuchangiwa na CCM maana yake ni kuwa yuko na CCM?
View: https://youtu.be/jOuZZdCd8aY?si=CS6vBVEwa4QeuE4s
Kama kawaida! Utasema mnyaruanda! UkomeWajinga kama hawa ndio wanashinda bar wanakunywa konyagi siku ya kupiga kura...
CDM haiogopeki na watawala, CDM ni chama cha siasa sio kikundi cha waasi..
Hii lafudhi ni ya kitanzania kweli? Au kule kwenye M23
NamsikilizaHuenda Mbowe karogwa.
===
Haya maneno ya huyu kijana natamani wajumbe wote wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA wayasikie hata kama hawana smartphone wapelekeeni wasikilize.
View attachment 3204030
===
Haya maneno ya huyu kijana natamani wajumbe wote wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA wayasikie hata kama hawana smartphone wapelekeeni wasikilize.
View attachment 3204030
Duuuh===
Haya maneno ya huyu kijana natamani wajumbe wote wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA wayasikie hata kama hawana smartphone wapelekeeni wasikilize.
View attachment 3204030