Video: Wamasai wakiondoka Loliondo

Hii kadhia ya Ngorongoro watu wengi wanalitafsiri vibaya, kinyume cha uhalisia. Kadhia hii ya Ngorongoro inahusisha maslahi ya nchi kwa ujumla wake.
Zaidi ya hapo kuna sheria za nchi zinazotoa mamlaka ya utekelezaji wa kadhia kama hizi.

Nitoe mfano kwa kutaja sheria ya Land Acquisition Act Tanzania Cap 118 ambayo inaeleza bayana kuwa ardhi ni mali ya umma, na Rais wa JMT amepewa mamlaka ya kuitwaa kwa matumizi/manufaa yeyote kwa jamii.

Naomba nikupe mifano hai ambayo binafsi nimeshuhudia inayohusu Presidential Powers as per Land Acquisition Act
1. Vita vya Kagera (Topple of Marshall Idd Amin Dada of Uganda)
Nyumba na mashamba ya kahawa mkoani Kagera tuliyavuruga hususan Misenyi ward na mpaka leo hakuna fidia iliyo lipwa kwa waathirika wa vita hivyo.

2. Wakazi wa Kimara Manispaa ya Ubungo-Dsm wamevunjiwa nyumba zao na hakuna fidia yeyote walio pata.

Hivyo basi hiyo ndio sheria za nchi takriban zote duniani.
 

Kwahiyo ni bora hiyo ardhi yenu aitumie mwarabu kuliko Mkenya?
 
Hizi thread mnazoandikiwa na wakenya ili mzilete humu ndo zimebuma. Wewe hauoni hakuna hata waliojishughulisha ku Like uzi wako. Ukweli ni kwamb hakuna mtanzania halisi na mwenye akili asiejua kuwa nyie mnatumiwa.

Mkuu uko sahihi kabisa, sasa ipi bora, kutumiwa na Wakenya au Mwarabu?
 

Mkuu kwakuwa hizo ardhi zilitwaliwa na hakukuwa na fidia yoyote,hiyo inahalalisha Wamasai kuondolewa kwa shuruti sasa? Je hao ardhi zao ambao zilizotwaliwa huko nyuma ilikuwa ni kitendo cha halali?
 
Tushirikishe ushahidi kuhusu Ole Sendeka na hiyo mifugo kutoka nchi jirani?! Vinginevyo funga bakuli lako!
 

Naona unatumia nguvu nyingi kuhalalalisha dhulma na uvunjifu wa sheria.
 
Tushirikishe ushahidi kuhusu Ole Sendeka na hiyo mifugo kutoka nchi jirani?! Vinginevyo funga bakuli lako!
Do your homework, I can't show my evidence to every asshole in JF
 
Keep shut, if you can't nenda kawasaidie wamasai wa Kenya, waambie wasihame na ww uwepo hapo ukutwe.
 
Hao ni Wakenya na sio Watanzania! Kwa jinsi walivyopafanya hapo kuwa jangwa kama inavyoonekana kwenye
 
Unachanganya mambo hapa. Wano shugulikiwa sio wakenya tu. Na watanzania pia. Ingekuwa wakenya tu si wangeondolewa wao?
 
Hivi hao wanyama wanakula nini hapo? Wasukuma walifurushwa na lowasa kule ihefu na hawakupewa usafiri, hawa wamejengewa nyumba wanabebwa na Costa, na huyo kig wa kama alikataa rushwa ni vyema alitumikia kiapo chake.
 
Hatuwezi changanya nyani na watu eneo moja, haya ni mambo ya mkoloni lazima utu wa mtu ulindwe
 
Hivi kumbe Missile of the Nation kumbe na wewe ni wa kiwango cha chini hivi kimawazo? I miscalculated your thinking level.
Yani wengi tumeshangazwa kuona mtu kama yeye (ustaz) anaingizwa chaka na propaganda za manyang'au kijinga jinga namna hii. Wala haihitaji akili nyingi kujua kwamb hili swala la loliondo walioumia zaidi ni wakenya na wamasai wao wa mchongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…