imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Good News kama ni kweli,Mwarabu anastahili Pongezi.Kuna taarifa kwamba wamelipwa
Sijui ataajiri Watanzania wangapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good News kama ni kweli,Mwarabu anastahili Pongezi.Kuna taarifa kwamba wamelipwa
Acha bhanaKuna taarifa kwamba wamelipwa
Hata huko walipopelekwa ni sehem ya Tanzania. Kwahiyo kama na wao ni sehem ya vivutio basi watalii watawafuata huko huko walipo kuona vivutio vyao. Ila hatuwezi kubali wakenya waendelee kutumia ardhi yetu kupitia mgongo wa hawa wamasai wa mchongo. Never.
Hizi thread mnazoandikiwa na wakenya ili mzilete humu ndo zimebuma. Wewe hauoni hakuna hata waliojishughulisha ku Like uzi wako. Ukweli ni kwamb hakuna mtanzania halisi na mwenye akili asiejua kuwa nyie mnatumiwa.
Hii kadhia ya Ngorongoro watu wengi wanalitafsiri vibaya, kinyume cha uhalisia. Kadhia hii ya Ngorongoro inahusisha maslahi ya nchi kwa ujumla wake.
Zaidi ya hapo kuna sheria za nchi zinazotoa mamlaka ya utekelezaji wa kadhia kama hizi.
Nitoe mfano kwa kutaja sheria ya Land Acquisition Act Tanzania Cap 118 ambayo inaeleza bayana kuwa ardhi ni mali ya umma, na Rais wa JMT amepewa mamlaka ya kuitwaa kwa matumizi/manufaa yeyote kwa jamii.
Naomba nikupe mifano hai ambayo binafsi nimeshuhudia inayohusu Presidential Powers as per Land Acquisition Act
1. Vita vya Kagera (Topple of Marshall Idd Amin Dada of Uganda)
Nyumba na mashamba ya kahawa mkoani Kagera tuliyavuruga hususan Misenyi ward na mpaka leo hakuna fidia iliyo lipwa kwa waathirika wa vita hivyo.
2. Wakazi wa Kimara Manispaa ya Ubungo-Dsm wamevunjiwa nyumba zao na hakuna fidia yeyote walio pata.
Hivyo basi hiyo ndio sheria za nchi takriban zote duniani.
Waliolipwa ni mamluki wa kumtetea mwarabu , simaanishi wahangaGood News kama ni kweli,Mwarabu anastahili Pongezi.
Sijui ataajiri Watanzania wangapi.
Tushirikishe ushahidi kuhusu Ole Sendeka na hiyo mifugo kutoka nchi jirani?! Vinginevyo funga bakuli lako!Wamasai lazima wahame Ngorongoro. Tufike mahali tutofautishe binadamu na wanyama. Ukweli ni kwamba Ole Sendeka ndiye KUWADI wa wafanyabiashara wa Kenya wanaofugia ng'ombe zao ndani ya Ngorongoro. Maelfu ya ng'ombe waliopo pale siyo ya Wamasai wa Tanzania bali Wamasai wa Tanzania ni vijakazi tu wanaolipwa ujira.
Hiyo Sheria inawanufaisha wakenya na siyo watanzania
Hii kadhia ya Ngorongoro watu wengi wanalitafsiri vibaya, kinyume cha uhalisia. Kadhia hii ya Ngorongoro inahusisha maslahi ya nchi kwa ujumla wake.
Zaidi ya hapo kuna sheria za nchi zinazotoa mamlaka ya utekelezaji wa kadhia kama hizi.
Nitoe mfano kwa kutaja sheria ya Land Acquisition Act Tanzania Cap 118 ambayo inaeleza bayana kuwa ardhi ni mali ya umma, na Rais wa JMT amepewa mamlaka ya kuitwaa kwa matumizi/manufaa yeyote kwa jamii.
Naomba nikupe mifano hai ambayo binafsi nimeshuhudia inayohusu Presidential Powers as per Land Acquisition Act
1. Vita vya Kagera (Topple of Marshall Idd Amin Dada of Uganda)
Nyumba na mashamba ya kahawa mkoani Kagera tuliyavuruga hususan Misenyi ward na mpaka leo hakuna fidia iliyo lipwa kwa waathirika wa vita hivyo.
2. Wakazi wa Kimara Manispaa ya Ubungo-Dsm wamevunjiwa nyumba zao na hakuna fidia yeyote walio pata.
Hivyo basi hiyo ndio sheria za nchi takriban zote duniani.
Do your homework, I can't show my evidence to every asshole in JFTushirikishe ushahidi kuhusu Ole Sendeka na hiyo mifugo kutoka nchi jirani?! Vinginevyo funga bakuli lako!
Kwa hiyo ulianzisha THREAD ulitegemea utakutana na MAZWAZWA wenzio tu?Naona unatumia nguvu nyingi kuhalalalisha dhulma na uvunjifu wa sheria.
Kwa wasioelewa mgogoro huko Ngorongoro na Loliondo.
Ni hivi , Huko Loliondo ndio kuna mwarabu(OBC) anayetaka ardhi ya wananchi, nguvu na ubabe unatumika kuwaondoa watake wasitake.
Eneo la Kilometa za mraba 1500 huko Loliondo ni eneo ambalo yule mwarabu wa OBC analitaka , na ndio figisufigisu zote hizi za kufukuza wananchi ili kumpa huyu mwarabu eneo afanye anavyotaka. Huyu mwarabu ndio Kigwangwallah alipokuwa waziri alisema alitaka kumhonga dola laki moja akakataa
Na kuhusu Ngorongoro, huko ndio wamasai wamejengewa nyumba chache Handeni ili kuwahadaa watanzania kuwa serikali inawajali wamasai kumbe bosheni. Vijumba visivyofika 1000 vingewatoshaje wamasai Laki moja?
Baadhi ya video za wananchi wakiondoka kwenye eneo wanalotaka kumpa mwarabu wa OBC hizi hapa:
View attachment 2273617
View attachment 2273618
View attachment 2273651

Unachanganya mambo hapa. Wano shugulikiwa sio wakenya tu. Na watanzania pia. Ingekuwa wakenya tu si wangeondolewa wao?Wamasai lazima wahame Ngorongoro. Tufike mahali tutofautishe binadamu na wanyama. Ukweli ni kwamba Ole Sendeka ndiye KUWADI wa wafanyabiashara wa Kenya wanaofugia ng'ombe zao ndani ya Ngorongoro. Maelfu ya ng'ombe waliopo pale siyo ya Wamasai wa Tanzania bali Wamasai wa Tanzania ni vijakazi tu wanaolipwa ujira.
Hiyo Sheria inawanufaisha wakenya na siyo watanzania
Yani wengi tumeshangazwa kuona mtu kama yeye (ustaz) anaingizwa chaka na propaganda za manyang'au kijinga jinga namna hii. Wala haihitaji akili nyingi kujua kwamb hili swala la loliondo walioumia zaidi ni wakenya na wamasai wao wa mchongo.Hivi kumbe Missile of the Nation kumbe na wewe ni wa kiwango cha chini hivi kimawazo? I miscalculated your thinking level.