Video: Wamasai wazichapa tena na Walinzi (Wajeruhi)

Video: Wamasai wazichapa tena na Walinzi (Wajeruhi)

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Hili tukio limetokea jana, ambapo Wamasai wamepigana na Walinzi na kujeruhi.

Nini kifanyike kuepusha matukio kama haya kwenye jamii yetu?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Mnawachokoza, hao jamaa ni wastarabu ichuliwe kama watu wengine.. How comes fights daily ila watu hawatajwi kwa makabila yao ila akigombana mmasai anatajwa kwa kabila lake..

Wamasai kwani wameanza kuingia juzi hapo Zanzibar!? Wapo miaka kwa miaka ishu ndogo basi anahusisha kabila zima.

Tubadilike kabisa hili suala halina mantiki kwa watanzania wenzetu, mpaka sasa kama vile wametengwa kwa nasaba yao, kila tukio lao linapewa shtuma kwa wote.. kakae kariakoo kutwa watu wanaopigana wanajulikana makabila ya mbona hawatajwi...
 
Hili tukio limetokea jana, ambapo Wamasai wamepigana na Walinzi na kujeruhi.

View attachment 2896725

Nini kifanyike kuepusha matukio kama haya kwenye jamii yetu?

Written by Mjanja M1 ✍️
Hii Kitu nimeenza kuiona Sio Ishu ya Domestic tena ukiangalia kwa jicho la kiinteligensia utagundua mambo machache..

Kwanini Hii kitu itokee sasa?
Wakati sheria ya Kuzuia silaha ni ya Muda Mrefu?
Kwanini wamasai Ghafla wamekuwa A bit more Causative wa Violence?
Kwanini wanaopigwa Ni walinzi au Askari?
Kwanini hawapigani wao kwa wao?

Kuna kitu nakihisi si kizuri kinafanyika kwa Ajili ya Muungano..

Kuna kitu kinatengenezwa sio kizuri Nikisema maneno kama SOWING DISCORD au FOMENTING DISCORD.. Kwa waliosoma Diplomasy au Political Science...Watanielewa Zaidi..

Hii ni conflict ya kutengeneza Ili baadaye iwe kubwa na ilete Hisia baina ya Watanganyika na Wazanzibar Mwisho wa siku Tuharibu Muungano..

Kuna kiti kinasukwa matokeo yake yanaweza yasionekane sasa hivi ila Trust me Yatakuwa makubwa sana..

Wanaweza Wakafukuza wamasai wote kwa kufanya Resolution (Cause and effects)..
Lakini inasikitisha sana kufanya sowing kwa kutumia Watu wenye Roho zao.bila kujali kama watapoteza Roho zao..

Kuna Ajenda kubwa sana "A sowing Discord" Imatengenezwa
 
Wazenji ni wabaguzi sana, Masai tunaish nao tangu utoto mpaka tunakua tunachangamana nao na siraha zao mpaka majumbani mwetu wanapita tunawapa maji ya kunywa hawajawahi kuiba wala kupiga mtu. Masai kazi ya siraha zao ni ulinzi waka sio uarifu.

Wamewafukuza mbugani wamepisha sasa na huku mjini wanabaguliwa hii ni laana kabisa.
 
Hii Kitu nimeenza kuiona Sio Ishu ya Domestic tena ukiangalia kwa jicho la kiinteligensia utagundua mambo machache..

Kwanini Hii kitu itokee sasa?
Wakati sheria ya Kuzuia silaha ni ya Muda Mrefu?
Kwanini wamasai Ghafla wamekuwa A bit more Causative wa Violence?
Kwanini wanaopigwa Ni walinzi au Askari?
Kwanini hawapigani wao kwa wao?

Kuna kitu nakihisi si kizuri kinafanyika kwa Ajili ya Muungano..

Kuna kitu kinatengenezwa sio kizuri Nikisema maneno kama SOWING DISCORD au FOMENTING DISCORD.. Kwa waliosoma Diplomasy au Political Science...Watanielewa Zaidi..

Hii ni conflict ya kutengeneza Ili baadaye iwe kubwa na ilete Hisia baina ya Watanganyika na Wazanzibar Mwisho wa siku Tuharibu Muungano..

Kuna kiti kinasukwa matokeo yake yanaweza yasionekane sasa hivi ila Trust me Yatakuwa makubwa sana..

Wanaweza Wakafukuza wamasai wote kwa kufanya Resolution (Cause and effects)..
Lakini inasikitisha sana kufanya sowing kwa kutumia Watu wenye Roho zao.bila kujali kama watapoteza Roho zao..

Kuna Ajenda kubwa sana "A sowing Discord" Imatengenezwa
Huu muungano uvunjike tu, maana unawabeba wazanzibar peke yao sio watanganyika
 
Hili tukio limetokea jana, ambapo Wamasai wamepigana na Walinzi na kujeruhi.

View attachment 2896725

Nini kifanyike kuepusha matukio kama haya kwenye jamii yetu?

Written by Mjanja M1 ✍️
wala urojo vs wanaoua simba ndo wapewe mke!!!!,,,wamasai wamechoka sana kuonewa,mara wafukuzwe loliondo,mara wananyang'anywe mfifugo mara wakatazwe kutembea na sime!!!,wazanzibar wanawachukia kwa sababu madem wa kizungu wanapenda kudeti na wamasai kwa sababu wana nguvu za kiume kuliko wala urojo!!
 
Hao viongozi wa Zanzibar waendelee kupandikiza chuki watapata wasichokitarajia
Kwakuwa hauko zanzibar hauwezi kuelewa kinachotekea kati ya wamasai na walinzi wa mahoteli, wamasai wamekuwa wanagasi sana wageni, siyo kila mgeni anataka kununua shanga, lakini masai wakielezwa hawaelewi kwa kila kilichowekwa na sheria ya utalii zanzibar kwamba beach ama fukwe ni maeneo ya watu wote. Hii ni changamoto sana na kupitia haya matukio nadhani kuna cha kujifunza hapa.
Sheria zao nyingi zimetungwa kuwabeba wazanzibar lakini kutokana na muingiliano wa watu wanaonufaika ni watu wa kuja na si Zanzibar tena.
Beach boys na Beach girls majority siyo Zanzibarian ni watu wa kutoka bara na hata nchi za jirani.

Kamisheni ya utalii wanatakiwa kureview miongozo yao na izingatie fargha za wageni ( Privacy) tofauti na hapo fukwe za kusini nazo zinaenda kuwa kama zile za kaskazini ( Nungwi).
 
Back
Top Bottom