Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Wamasai huwa ni jamii ya kistarabu sana.
Ni vile baadhi japo ni wengi wa wazanzibari wanaroho mbaya
Ni vile baadhi japo ni wengi wa wazanzibari wanaroho mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa ulichokiandika hapaKwakuwa hauko zanzibar hauwezi kuelewa kinachotekea kati ya wamasai na walinzi wa mahoteli, wamasai wamekuwa wanagasi sana wageni, siyo kila mgeni anataka kununua shanga, lakini masai wakielezwa hawaelewi kwa kila kilichowekwa na sheria ya utalii zanzibar kwamba beach ama fukwe ni maeneo ya watu wote. Hii ni changamoto sana na kupitia haya matukio nadhani kuna cha kujifunza hapa.
Sheria zao nyingi zimetungwa kuwabeba wazanzibar lakini kutokana na muingiliano wa watu wanaonufaika ni watu wa kuja na si Zanzibar tena.
Beach boys na Beach girls majority siyo Zanzibarian ni watu wa kutoka bara na hata nchi za jirani.
Kamisheni ya utalii wanatakiwa kureview miongozo yao na izingatie fargha za wageni ( Privacy) tofauti na hapo fukwe za kusini nazo zinaenda kuwa kama zile za kaskazini ( Nungwi).
Masai NationHili tukio limetokea jana, ambapo Wamasai wamepigana na Walinzi na kujeruhi.
View attachment 2896725
Nini kifanyike kuepusha matukio kama haya kwenye jamii yetu?
Written by Mjanja M1 ✍️
Huwezi kuelewa kama haujui kinachosababisha ugomvi wa masai na walinzi wa mahoteli, Huwezi kuelewa ikiwa hauko jirani na sector ya utalii hususani znz, huwezi kuelewa kama hajui sheria na miongozo ya kamisheni ya utalii znz inaelekeza nini. Huwezi kuelewa ikiwa hauelewi kundi kubwa la beach boys na beach girls wanatokea maeneo gani kwa wingi.Sijaelewa ulichokiandika hapa
Kaka hapa wacha tuambizane ukweli. nishawahi toka na wageni nikaenda nao zenji. wamasai wanashobokea hovyo watasha tena persistently. watasha hawapendi hizo sema wanavunga.Mnawachokoza, hao jamaa ni wastarabu ichuliwe kama watu wengine.. How comes fights daily ila watu hawatajwi kwa makabila yao ila akigombana mmasai anatajwa kwa kabila lake..
Wamasai kwani wameanza kuingia juzi hapo Zanzibar!? Wapo miaka kwa miaka ishu ndogo basi anahusisha kabila zima.
Tubadilike kabisa hili suala halina mantiki kwa watanzania wenzetu, mpaka sasa kama vile wametengwa kwa nasaba yao, kila tukio lao linapewa shtuma kwa wote.. kakae kariakoo kutwa watu wanaopigana wanajulikana makabila ya mbona hawatajwi...
Na nyie huku bara mmejaa mnauza simu mbovu kkoo mmejaa na vihotel vyenu ila hamuoni kwamba mnatubana sisi tukiamua tuwakimbize bongo mtakuja kutulamba miguu.Kama kuna wabara wanatafuta maisha huko waacheni km tulivo waacha mtuuzie vifaa used mbofu mbofu huku baraKwakuwa hauko zanzibar hauwezi kuelewa kinachotekea kati ya wamasai na walinzi wa mahoteli, wamasai wamekuwa wanagasi sana wageni, siyo kila mgeni anataka kununua shanga, lakini masai wakielezwa hawaelewi kwa kila kilichowekwa na sheria ya utalii zanzibar kwamba beach ama fukwe ni maeneo ya watu wote. Hii ni changamoto sana na kupitia haya matukio nadhani kuna cha kujifunza hapa.
Sheria zao nyingi zimetungwa kuwabeba wazanzibar lakini kutokana na muingiliano wa watu wanaonufaika ni watu wa kuja na si Zanzibar tena.
Beach boys na Beach girls majority siyo Zanzibarian ni watu wa kutoka bara na hata nchi za jirani.
Kamisheni ya utalii wanatakiwa kureview miongozo yao na izingatie fargha za wageni ( Privacy) tofauti na hapo fukwe za kusini nazo zinaenda kuwa kama zile za kaskazini ( Nungwi).
Kwani hawa wamasai wameanza kuuza shanga hapo zenj tarehe ngapi,mwezi wa ngapi na mwaka upi shekh??? mbona siku za nyuma kulikuwa hamna kelele kama izi!!! iko ivi, vijana wa kizanzbar wengi ni wavivu,kazi yao ni kusikiliza taarab na kuuza ngada huko beach,wengine wana imani kali za kiislam kiasi kumuudumia mtalii mwenye bikini wanaona ni kharam,then wakipewa shoo na madem wa kitasha bao moja tuutaskia YALAAAA!!then anajitupa pembeni kama bata,tofauti na wamasai!!!Kwakuwa hauko zanzibar hauwezi kuelewa kinachotekea kati ya wamasai na walinzi wa mahoteli, wamasai wamekuwa wanagasi sana wageni, siyo kila mgeni anataka kununua shanga, lakini masai wakielezwa hawaelewi kwa kila kilichowekwa na sheria ya utalii zanzibar kwamba beach ama fukwe ni maeneo ya watu wote. Hii ni changamoto sana na kupitia haya matukio nadhani kuna cha kujifunza hapa.
Sheria zao nyingi zimetungwa kuwabeba wazanzibar lakini kutokana na muingiliano wa watu wanaonufaika ni watu wa kuja na si Zanzibar tena.
Beach boys na Beach girls majority siyo Zanzibarian ni watu wa kutoka bara na hata nchi za jirani.
Kamisheni ya utalii wanatakiwa kureview miongozo yao na izingatie fargha za wageni ( Privacy) tofauti na hapo fukwe za kusini nazo zinaenda kuwa kama zile za kaskazini ( Nungwi).
Kama itakua sababu ya kuvunja muungano na uvunjike tuu itakua vizuri Sana wanywa urojo warudi kwao Kila mmoja achukue fito zakeHii Kitu nimeenza kuiona Sio Ishu ya Domestic tena ukiangalia kwa jicho la kiinteligensia utagundua mambo machache..
Kwanini Hii kitu itokee sasa?
Wakati sheria ya Kuzuia silaha ni ya Muda Mrefu?
Kwanini wamasai Ghafla wamekuwa A bit more Causative wa Violence?
Kwanini wanaopigwa Ni walinzi au Askari?
Kwanini hawapigani wao kwa wao?
Kuna kitu nakihisi si kizuri kinafanyika kwa Ajili ya Muungano..
Kuna kitu kinatengenezwa sio kizuri Nikisema maneno kama SOWING DISCORD au FOMENTING DISCORD.. Kwa waliosoma Diplomasy au Political Science...Watanielewa Zaidi..
Hii ni conflict ya kutengeneza Ili baadaye iwe kubwa na ilete Hisia baina ya Watanganyika na Wazanzibar Mwisho wa siku Tuharibu Muungano..
Kuna kiti kinasukwa matokeo yake yanaweza yasionekane sasa hivi ila Trust me Yatakuwa makubwa sana..
Wanaweza Wakafukuza wamasai wote kwa kufanya Resolution (Cause and effects)..
Lakini inasikitisha sana kufanya sowing kwa kutumia Watu wenye Roho zao.bila kujali kama watapoteza Roho zao..
Kuna Ajenda kubwa sana "A sowing Discord" Imatengenezwa
Why you speak in parables? Spill the beans so we can understand the cause of the problem.huwezi kuelewa kama haujui kinachosababisha ugomvi wa masai na walinzi wa mahoteli, Huwezi kuelewa ikiwa hauko jirani na sector ya utalii hususani znz, huwezi kuelewa kama hajui sheria na miongozo ya kamisheni ya utalii znz inaelekeza nini. Huwezi kuelewa ikiwa hauelewi kundi kubwa la beach boys na beach girls wanatokea maeneo gani kwa wingi. Hauwezi kuelewa ikiwa haujafika fukwe za Nungwi kuanzia Pwani mchangani na kuendelea, Hauwezi kuelewa ikiwa haujafika fukwe za Michamvi, Bwejuu, Paje, Jambiani, Kizimkazi na kwingineko. Na kama umefika na bado hujaelewa basi wewe utakuwa na shida mahali fulani upstairs.
Kushobokea sio ishu maana wanatafuta pesa ,tatizo ni kuwazungumzia vibaya watu ...Jamii ya wamasai wanatembea na fimbo kama tamaduni hawana time na mtu ,Kila kona wapo hawana utaratibu wakupiga watu hovyo maana wangeshafukuzwa sehemu kibao haswa Nairobi,Kenya.kaka hapa wacha tuambizane ukweli. nishawahi toka na wageni nikaenda nao zenji. wamasai wanashobokea hovyo watasha tena persistently. watasha hawapendi hizo sema wanavunga.
Masai njoo upige virungu hii hamii urojo nyingine hapaKwakuwa hauko zanzibar hauwezi kuelewa kinachotekea kati ya wamasai na walinzi wa mahoteli, wamasai wamekuwa wanagasi sana wageni, siyo kila mgeni anataka kununua shanga, lakini masai wakielezwa hawaelewi kwa kila kilichowekwa na sheria ya utalii zanzibar kwamba beach ama fukwe ni maeneo ya watu wote. Hii ni changamoto sana na kupitia haya matukio nadhani kuna cha kujifunza hapa.
Sheria zao nyingi zimetungwa kuwabeba wazanzibar lakini kutokana na muingiliano wa watu wanaonufaika ni watu wa kuja na si Zanzibar tena.
Beach boys na Beach girls majority siyo Zanzibarian ni watu wa kutoka bara na hata nchi za jirani.
Kamisheni ya utalii wanatakiwa kureview miongozo yao na izingatie fargha za wageni ( Privacy) tofauti na hapo fukwe za kusini nazo zinaenda kuwa kama zile za kaskazini ( Nungwi).
Kanchi kenyewe kadooooooooooooogo kama tako la mtoto mchanga lakini wanajiona wajaaanja huku,wakiwaona waarabu ndio ndogu zao kuliko sisi,,,waende wajiunge na afghanstanKama itakua sababu ya kuvunja muungano na uvunjike tuu itakua vizuri Sana wanywa urojo warudi kwao Kila mmoja achukue fito zake
umeandika kwa busara kaka.Kushobokea sio ishu maana wanatafuta pesa ,tatizo ni kuwazungumzia vibaya watu ...Jamii ya wamasai wanatembea na fimbo kama tamaduni hawana time na mtu ,Kila kona wapo hawana utaratibu wakupiga watu hovyo maana wangeshafukuzwa sehemu kibao haswa Nairobi,Kenya.
Jaalia watu wale waliofanya kosa pale Zanzibar maana hatujui wamechokozwa au laah, sasa inaleta unyonge kwa wamasai wote fikiria kabila lako au watu wa kwenu wanasemwa kama ujumla wakati tatizo limefanywa na watu wachache.
Huko Zanzibar wanachokifuata wamasai ni kama watu wengine wote kujipatia rizki...Hawa wamasai ni ndugu zetu sisi kama watanzania haina haja ya kuwazodoa kwa kabila lao.