nimejiuliza nikagundua kuwa ni wivu na chuki,,,,,nilipotafakari nikagundua wazanzbar wanawaonea wivu wamasai kwani wamasai kama wamasai ni moja ya utambulisho{icon]ya utalii kwa tanzania na kenya,,,manake ni kwamba moja wapo ya ki2 kinachokaa kichwani mwa mtalii anapojiandaa kuja tanzania au kenya ni kuja kuwaona wamasai na utamaduni wao,sasa wanapotokeza wanakuwa kivutio kuliko wazanzibar,kwani kiuhalisia utamaduni wa mzanzibar ulishafutika kwa kuiga utamaduni wa kiarabu kuanzia imani,mavazi,mila ,chakula utaratibu mzima wa maisha kwa ujumla,,,,,,wakati kwa mmasai au wamasai utamaduni wao ni GENUINE wa kiafrika au niseme mmasai hajafanyiwa brain wash yoyote ile dini yao ni ya asili,mavazi ya asili,chakula cha asili,,,,,,sasa matokeo yake ni nini????mtalii anapokutana na mmasai anatumia muda nwingi kuzungumza na mmasai ili kumwelewa kuliko mzanzibar matokeo yake mmasai anapata pesa kirahisi kuliko mzanzibar,,,,yaani kumjua mzanzibar,ata ukienda doha,pakistan,yemen,iran,ata huko watokapo watalii mila za kiarabu zipo,,ata mtalii kama ni mwarabu ni rahisi sana kuvutiwa na mmasai kuliko mzenj manake yeye mwenyewe anajua wanafanana kwa mambo mengi!!!,,ata kule loliondo waliondolewa kwa sababu hiyohiyo!!! na kama unakumbuka wazungu mpaka leo wanalalamika kwa swala lile,,,chuki inatokana na mvuto wa mmasai wewe mwenyewe hapo ulipo ukiletewa NG'OMBE na NYATI utachagua kumshangaa nani mzee baba?????...si lazima NG"MBE amwonee wivu NYATI?,,,,au unasemaje?????kwa sababu NG'OMBE hana jipya mbele ya nyati,,,,au unasemaje man!