Ngoja bhasi nikutajie
- Wamasai walitofautiana na Askari walikuwa kwenye Gari na kuchapa fimbo Derva wa gari la askari
- Wamasai walitofautiana Na kuwapiga askari na walinzi wa forodhani kipindi wanataka kutoroka baada ya Kupatikana na kesi hapo juu
- Wamasai walishambulia Walinzi baada ya kutaka wasitumie silaha kuzibeba
- Wamasai leo kwa video hapo Juu wamecharza mlinzi
- Wamasai walirepotiwa kuwatandika mikwaju polisi baada ya kumkamata mwenzao kwa makosa ya kufanya fujo..
MKuu Ndo kwamba siku hizi watu hawaoni?
Hakuna mahali popote nimesema Tanzania sio Nzhi ya amani..
Nilichosema kuna Viasharia vya Kuharibu amani....
You dont Listen mkuu, You just follow..
Bhasi nakusisitixa hebu soma nachoandika bila kuweka hisia zako..
Uunachofanya sasa ni uchawa maana chawa hatumui akili..
Try using your brain and think