Video: Wamasai wazichapa tena na Walinzi (Wajeruhi)

Hii Kitu nimeenza kuiona Sio Ishu ya Domestic tena ukiangalia kwa jicho la kiinteligensia utagundua mambo machache..

Kwanini Hii kitu itokee sasa?
Wakati sheria ya Kuzuia silaha ni ya Muda Mrefu?
Kwanini wamasai Ghafla wamekuwa A bit more Causative wa Violence?
Kwanini wanaopigwa Ni walinzi au Askari?
Kwanini hawapigani wao kwa wao?

Kuna kitu nakihisi si kizuri kinafanyika kwa Ajili ya Muungano..

Kuna kitu kinatengenezwa sio kizuri Nikisema maneno kama SOWING DISCORD au FOMENTING DISCORD.. Kwa waliosoma Diplomasy au Political Science...Watanielewa Zaidi..

Hii ni conflict ya kutengeneza Ili baadaye iwe kubwa na ilete Hisia baina ya Watanganyika na Wazanzibar Mwisho wa siku Tuharibu Muungano..

Kuna kiti kinasukwa matokeo yake yanaweza yasionekane sasa hivi ila Trust me Yatakuwa makubwa sana..

Wanaweza Wakafukuza wamasai wote kwa kufanya Resolution (Cause and effects)..
Lakini inasikitisha sana kufanya sowing kwa kutumia Watu wenye Roho zao.bila kujali kama watapoteza Roho zao..

Kuna Ajenda kubwa sana "A sowing Discord" Imatengenezwa
Muungano hauna maana yoyote
 
Muungano ufe tu
 
Wazanzibar na mafala sana,wao wanapenda kuonewa huruma wakati kwao ni wabaguzi,hata tukiachana na hilo la wamasai ila wazanzibar ni mafala tu
Ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sana
 
Mbona hawawapigi hao wazungu waapige tu walinzi? Ni wazi kuwa mnawachokoza. Wamasai sisi tunakaa nao huku bara sijui ni wapi kama ilishawahi tokea matukio ya ukorofi wa wawamasai. Maana ni watu poa sana.

Sasa wakitembea na hayo marungu, fimbo na sime ninyi inawakera nini si fasheni yao hiyo ya uvaaji?
 
Who cares, umekuja kutafuta au kupendwa, weka malengo fanya kilichokuleta the rest will be History

hilo ndio tatizo kubwa la waafrika, always wao wapo kwenye ku demand, umewahi kusikia muhindi anataka upendo wetu? yeye ana focus na michongo yake tu. mtu mweusi amelaanika kwa kweli
 
Back
Top Bottom