Kweli Hawa ni mizigo!Hakika wanaCCM wameendelea kujionesha kuwa wao ni bora liende. Haiwezekani mwanadamu unampakia kwenye usafiri wa kuhatarisha maisha yake kiasi hiki.
View attachment 1594989
Naona mbowe anashikiwa bango sijui kala ruzuku. Okay.. CAG alipopiga ukaguzi.. hakupatikana na kosa lolote la ubadhilifu.Tofauti unayoshindwa kuijua wewe ni moja tu, Chama cha mbowe fedha za ruzuku na michango zinaenda kwenye Faru John, lakini Chama Cha Mapinduzi chama dume na chama imara kina uchumi ulio imara.
Bado hamjasema ,kilio ni baada ya tarehe 28 October,maji mtayaita mma!Hakika wanaCCM wameendelea kujionesha kuwa wao ni bora liende. Haiwezekani mwanadamu unampakia kwenye usafiri wa kuhatarisha maisha yake kiasi hiki.
View attachment 1594989
Unaelewa maana ya Kashfa?1:Kashfa ya mabillion ya meremeta.
2:Richmond
3:Escrow
4:Epa
5:
6:
7:
8:
Ushahidi mmetuonyesha mlipoanza kuomba michango ya kuendesha kampeni wakati ruzuku mnapewa.Naona mbowe anashikiwa bango sijui kala ruzuku. Okay.. CAG alipopiga ukaguzi.. hakupatikana na kosa lolote la ubadhilifu.
Akafanyiwa mahojiano na takukuru.. nako wakamkosa.
Swali unaushahid na unachokisema?
Chama Cha Mafisadi
ni ccm peke yake ushaidi huo hapo ,weka ushahidi hapa wa vyama vingineVyama vyote vinafanya hivo
Huo sio ushahidi. Kama vyombo vya serikali vilimkugua vikamkuta hana kosa. Ww ni nani wa kupinga uchunguzi wao?Ushahidi mmetuonyesha mlipoanza kuomba michango ya kuendesha kampeni wakati ruzuku mnapewa.
Ccm ni janga
Basi wawasafirishe kwa nidhamu kuliko kuwageuza kama magunia ya mihogoHivi kwanini kuwepo kampeni? Hizi ni mbinu za kampeni ili kujaribu kupata watakaokupigia kura. Huyo anayepewa lift kama ni mpenzi wa mgombea mwingine, kwa kuhudhuria anaweza kubadili mtizamo. Hivyo si mbaya kuwasomba watu ili wamsikilize mgombea maana hawezi kufika nyumba kwa nyumba