VIDEO: Wanachi walio wengi Tanzania wamekubaliana na Serikali kukata tozo - TWAWEZA

VIDEO: Wanachi walio wengi Tanzania wamekubaliana na Serikali kukata tozo - TWAWEZA

Hii siyo TwaweZA ni TwaweZWA. Ishawekwa mfukoni na wapumbavu walio wengi.
 
1. Rushwa ndio imesababisha utafiti huu kutengenezwa kutetea udhumaji
2. Wananchi wa wapi waliohojia na kuonesha wanaitaka hiyo tozo isiyo na tija kwao?
3. Utafiti ulifanyika kwa njia za mahojiano ya ana kwa ana au kwa njia ya simu?
4. Kama mahojiano yalifanyika kwa niia ya simu nani aliwapa hizo simu na bando la kupoteza wakiongea wakati kadri anavyoongea ndio tozo inazidi kukatwa?
5. Wananchi waliohojiwa walilipwa kiasi gani kukubaliana na ulaghai huu?
 
Back
Top Bottom