Video: Wanafunzi Shule ya Makongoro Bunda walivyogomea gari la Serikali lisibebe mwili wa mwenzao

Video: Wanafunzi Shule ya Makongoro Bunda walivyogomea gari la Serikali lisibebe mwili wa mwenzao

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wakuu,

Hii video inaonyesha namna vijana hawa ni majasiri, waligomea gari la Serikaei lisibebe mwili wa mwenzao kwani kifo chake kimesababishwa na watumishi wa Serikali

Hawa Wanafunzi mwenzao alipouwawa waliandamana na kutoa video Mpaka wamepata haki, ambapo tayari watuhumiwa wamekamtwa na Jeshi la Polisi.

Soma RPC Mara: Ni kweli Mwanafunzi wa Form 6 amefariki muda mfupi baada ya kuadhibiwa shuleni, tunawahoji Walimu 6

Alafu sasa kuna wale wenzetu wa UDOM tangu Mkufunzi wao kukamatwa wapo tu!

 
Fimbo zifutwe kabsa kila mtu afanye kazi yake, mwalimu afundishe asubir tareh 23 apate chake na mzaz alee mwanae
 

Attachments

  • 1787397013735.jpg
    1787397013735.jpg
    104 KB · Views: 10
Wakuu,

Hii video inaonyesha namna vijana hawa ni majasiri, waligomea gari la Serikaei lisibebe mwili wa mwenzao kwani kifo chake kimesababishwa na watumishi wa Serikali

Hawa Wanafunzi mwenzao alipouwawa waliandamana na kutoa video Mpaka wamepata haki, ambapo tayari watuhumiwa wamekamtwa na Jeshi la Polisi.

Soma RPC Mara: Ni kweli Mwanafunzi wa Form 6 amefariki muda mfupi baada ya kuadhibiwa shuleni, tunawahoji Walimu 6

Alafu sasa kuna wale wenzetu wa UDOM tangu Mkufunzi wao kukamatwa wapo tu!

ok.

R.I.P mwendazake 🌹
 
Fimbo zifutwe kabsa kila mtu afanye kazi yake, mwalimu afundishe asubir tareh 23 apate chake na mzaz alee mwanae
Walimu mna kazi ngumu sana yaan mmepewa kazi ya kufundisha, kulea, kupigisha kwata, kuwafanya wanafunzi wawe wakakamavu km wanaenda kuingia kwenye mafunzo JKT wakihitimu form 6, na kuhakikisha unampiga mwanafunzi hadi unaua, poleni sana Walimu
 
-Serikali gani hii??-Hizo ni kauli za Wanafunzi...na wao wanaona ombwe ... !Wameichoka...Gari la Serikali limekataliwa lisibebe mwili wa mwenzao....wanaona Serikali ni sehemu ya tatizo..!Siyo ghafula tu Walimu wa Shule nzima 30 wamchangie Mwanafunzi kumuadhibu....Pana shida ya muda....mrefu . ...
R.P.C Mara ameshaanza utetezi kabla hata ya ripoti ya Kitabibu..kwamba -Watu tunatembea na maradhi-.!!! Na anakana idadi ya Walimu 30...!?Wanafunzi wanaosema walikuwa ni sehemu ya adhabu hiyo....!!?R.P.C hakuwepo pale!!
 
Acha binadamu hata kupiga mnyama ni kosa kubwa.
Kwanini serikali iendelee na sheria mbaya hivi?
Mnaruhusu kupiga fimbo mbili, lakini wao wanakuja waalimu wengi na kumchangia mwanafunzi mmoja.
Hizi sio adhabu bali ni mateso kwa wanafunzi

Huyo kiongozi anatetea ujinga tu
Kwani hajui kuna autism na ADHD?
Au hajui kabisa naongea nini hapa
Nje ya mada
Kuna watoto watukutu pia au uelewa mdogo lakini unapiga apate 💯
 
Walimu mna kazi ngumu sana yaan mmepewa kazi ya kufundisha, kulea, kupigisha kwata, kuwafanya wanafunzi wawe wakakamavu km wanaenda kuingia kwenye mafunzo JKT wakihitimu form 6, na kuhakikisha unampiga mwanafunzi hadi unaua, poleni sana Walimu
Mm sigusi mtoto WA naingia darasani nafundisha nasepa, nasubir tareh 23 nipokee changu bas

Hayo mambo ya kulea mtoto sio wangu siwez, mm naishi miaka ya mbele na kuangalia wazungu wanavyofanya
 
Back
Top Bottom