mwanafunzi auawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Video: Wanafunzi Shule ya Makongoro Bunda walivyogomea gari la Serikali lisibebe mwili wa mwenzao

    Wakuu, Hii video inaonyesha namna vijana hawa ni majasiri, waligomea gari la Serikaei lisibebe mwili wa mwenzao kwani kifo chake kimesababishwa na watumishi wa Serikali Hawa Wanafunzi mwenzao alipouwawa waliandamana na kutoa video Mpaka wamepata haki, ambapo tayari watuhumiwa wamekamtwa na...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Manyara: Mwanafunzi auawa, mganga wa kienyeji atajwa chanzo cha mauaji

    Polisi mkoani Manyara bado wanamsaka mganga wa kienyeji anayetuhumiwa kutoa utabiri wa uongo uliosababisha kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne.Mwanafunzi huyo, Yohana Konki (17), alidaiwa kupigwa hadi kufa na wenzake baada ya kuaminiwa kuwa ameiba kompyuta mpakato (tablet). Yohana, ambaye...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Manyara: Mwanafunzi auawa kwa kubakwa, atobolewa macho, mwili wake watupwa shambani

    Wakazi wa Kata ya Galapo, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, wamegubikwa na huzuni, kufuatia taarifa za kubakwa na kuuawa kikatili kwa Suzana Samweli (13), mwanafunzi wa darasa la sita ambapo wananchi wamelaani vikali na kuitaka Jeshi la Polisi kuchukua hatua za haraka dhidi ya wahusika wa tukio...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kagera: Mwalimu ampiga mpaka kuua mwanafunzi wa kidato cha tatu aliyevunja mlango wa nyumba yake ili kuiba simu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Msingi Igurwa, Adrian Tinchwa (36) kwa tuhuma za kumuua, Phares Buberwa mwanafunzi wa kidato cha tatu Shule ya Sekondari Igurwa. Taarifa iliyotolewa jana Jumanne Septemba 24, 2024 na Kamanda wa Polisi mkoani humo, Blasius Chatanda...
Back
Top Bottom