ok.Wakuu,
Hii video inaonyesha namna vijana hawa ni majasiri, waligomea gari la Serikaei lisibebe mwili wa mwenzao kwani kifo chake kimesababishwa na watumishi wa Serikali
Hawa Wanafunzi mwenzao alipouwawa waliandamana na kutoa video Mpaka wamepata haki, ambapo tayari watuhumiwa wamekamtwa na Jeshi la Polisi.
Soma RPC Mara: Ni kweli Mwanafunzi wa Form 6 amefariki muda mfupi baada ya kuadhibiwa shuleni, tunawahoji Walimu 6
Alafu sasa kuna wale wenzetu wa UDOM tangu Mkufunzi wao kukamatwa wapo tu!
Walimu mna kazi ngumu sana yaan mmepewa kazi ya kufundisha, kulea, kupigisha kwata, kuwafanya wanafunzi wawe wakakamavu km wanaenda kuingia kwenye mafunzo JKT wakihitimu form 6, na kuhakikisha unampiga mwanafunzi hadi unaua, poleni sana WalimuFimbo zifutwe kabsa kila mtu afanye kazi yake, mwalimu afundishe asubir tareh 23 apate chake na mzaz alee mwanae
Very soon..yaani kama kuna Viongozi wa Chadema maeneo ya Shule wakae Standby...Watasingiziwa CHADEMA kiwa ndio wamewatuma
Mm sigusi mtoto WA naingia darasani nafundisha nasepa, nasubir tareh 23 nipokee changu basWalimu mna kazi ngumu sana yaan mmepewa kazi ya kufundisha, kulea, kupigisha kwata, kuwafanya wanafunzi wawe wakakamavu km wanaenda kuingia kwenye mafunzo JKT wakihitimu form 6, na kuhakikisha unampiga mwanafunzi hadi unaua, poleni sana Walimu