Video: Wananchi Kisesa wamshangilia Luhaga Mpina wagoma kutawanyika baada ya mkutano

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Wakuu,

Wananchi wa Kisesa wanaonekana wana mahaba na mbunge wao licha ya kuchabangwa na Rais.

Umati mkubwa wa wananchi wa Mwandoya waliokuwa wamehudhuria mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, wameshindwa kujizuia kwa furaha waliyonayo, na kujikuta wakimsindikiza hadi nyumbani kwake baada ya mkutano kumalizika.

Wananchi hao, hata baada ya kumsindikiza waligoma kabisa kuondoka eneo hilo hadi kiza kilipoingia.

Kwa Samia na mradi ameshaonesha negativity against him, watamkata! Na akienda chama chhochote wataiba kura zake. Awe macho sana na Samia, aafute mahusiano ya kinafiki yawe mazuri avuke, then akiwashe tena..... awe mnafiki wa kumsifia kama Mungu au zaidi ya Mungu asikatwe
 
Na bado wakati anaongea walionekana kumshangilia
 
Kwa Samia na mradi ameshaonesha negativity against him, watamkata! Na akienda chama chhochote wataiba kura zake. Awe macho sana na Samia, aafute mahusiano ya kinafiki yawe mazuri avuke, then akiwashe tena..... awe mnafiki wa kumsifia kama Mungu au zaidi ya Mungu asikatwe
Kukiwa na reforms Mpina atatangazwa asubuhi na mapema
 
Kwa Samia na mradi ameshaonesha negativity against him, watamkata! Na akienda chama chhochote wataiba kura zake. Awe macho sana na Samia, aafute mahusiano ya kinafiki yawe mazuri avuke, then akiwashe tena..... awe mnafiki wa kumsifia kama Mungu au zaidi ya Mungu asikatwe
Anaweza hata kumtumia vijana wa Mafwele wamteke au hata kumtengenezea ajali ya kutoa uhai wake, huyu Mzanzibari amekuwa mwovu kuliko hata ibilisi.
 
Back
Top Bottom