The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Kukiwa na reforms Mpina atatangazwa asubuhi na mapemaKwa Samia na mradi ameshaonesha negativity against him, watamkata! Na akienda chama chhochote wataiba kura zake. Awe macho sana na Samia, aafute mahusiano ya kinafiki yawe mazuri avuke, then akiwashe tena..... awe mnafiki wa kumsifia kama Mungu au zaidi ya Mungu asikatwe
Anaweza hata kumtumia vijana wa Mafwele wamteke au hata kumtengenezea ajali ya kutoa uhai wake, huyu Mzanzibari amekuwa mwovu kuliko hata ibilisi.Kwa Samia na mradi ameshaonesha negativity against him, watamkata! Na akienda chama chhochote wataiba kura zake. Awe macho sana na Samia, aafute mahusiano ya kinafiki yawe mazuri avuke, then akiwashe tena..... awe mnafiki wa kumsifia kama Mungu au zaidi ya Mungu asikatwe
Tatizo hata kwa Mpina ni kukosekana uchaguzi huru na haki.Wananchi wa Kisesa wanaonekana wana mahaba na mbunge wao licha ya kuchabangwa na Rais.