Ndio hili litatokea maana Kama wanadhani kurudi kwa Prince kutasaidia
Lakini kila kundi litataka kushika nchi na hapo ndio vita ya wenyewe kwa wenyewe itaanza
Historia hujirudia
Saddam alimwambia Shah kuwa amruhusu iteligensia ya Iraq imuuwe Khomeini
Ila Shah alikataa, lakini Baada ya miezi kadhaa Shah akapinduliwa na Islamic Revolution ikiongozwa na Khomeini